Senatori wa Milano

Senatori wa Milano (pia: wa Settala; alifariki Milano, Italia Kaskazini, 475) alikuwa askofu wa 21 wa mji huo kuanzia mwaka 472 hadi kifo chake[1].

Mt. Senatori wa Milano katika mchoro wa ukutani.

Alipokuwa padri tu, Papa Leo I alimtuma Konstantinopoli kama balozi wake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Mei[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.