Shaunge

Ndege wa maji wa familia Rallidae
Shaunge
Shaunge wa Afrika
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Gruiformes (Ndege kama korongo)
Familia: Rallidae (Ndege walio na mnasaba na viluwiri)
Jenasi: Porphyrio
Brisson, 1760
Ngazi za chini

Spishi 14:

Shaunge ni ndege wa jenasi Porphyrio katika familia ya Rallidae. Huitwa kukutanda pia. Wanafanana sana na kukuziwa lakini rangi yao ni buluu au zambarau. Wana kigao chekundu isipokuwa Porphyrio flavirostris, ambaye ana kigao njano, na P. martinicus, ambaye ana kigao buluu. Mwenendo wao ni kama kukuziwa.

Spishi za Afrika

hariri

Spishi za mabara mengine

hariri

Spishi za kabla ya historia

hariri