Sidhom Bishay (alifariki Damietta, Misri, 25 Machi 1844) alikuwa Mkopti ambaye aliteswa kikatili akauawa na Waislamu kwa ajili ya imani yake ya Kikristo.

Picha takatifu ya Mt. Sidhom Bishay.

Kanisa la Kikopti limemtangaza kuwa mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.