Simplisi, Faustini na wenzao

Simplisi, Faustini na wenzao Viatrisi na Rufo (walifariki Roma, 303/304) walikuwa Wakristo wa Roma ya Kale waliouawa kwa ajili ya imani yao [1]. Viatrisi alikuwa dada wa Simplisi na Faustini.

Kifodini cha Wat. Simplisi na Faustini.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 29 Julai[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.