Somangila

Somangila ni kata iliyopo katika wilaya ya Kigamboni katika mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 17102[1].

Kata ya Somangila ina jumla ya mitaa kumi na tatu ambayo ni: Dege, Visikini, Minondo, Kichangani, Kizani, Mkwajuni, Shirikisho, Mwera, Mbwamaji, Mwanzomgumu, Malimbika, Bamba na Sara.

MarejeoEdit

  Kata za Wilaya ya Kigamboni - Tanzania  

Kibada (17109) * Kigamboni (17107) * Kimbiji (17101) * Kisarawe II (17104) * Mjimwema (17106) * Pembamnazi (17105) * Somangila (17102) * Tungi (17103) * Vijibweni (17108) *