Stefano Kijana (Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 715 hivi ; Konstantinopoli, 28 Novemba, 764 hivi) alikuwa abati aliyedhulumiwa kirefu na kaisari Konstantino V wa Bizanti na hatimaye kuuawa kwa sababu ya kuheshimu picha takatifu[1].

Mozaiki ya Mt. Stefano katika monasteri ya Hosios Loukas, Ugiriki.
Picha takatifu ya karne ya 1415 kuhusu Ushindi wa Imani sahihi dhidi ya waliopinga heshima kwa picha hizo (843). Mt. Stefano yumo kama mmojawapo kati ya wafiadini wa heshima hiyo.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.