Stefano wa Nisea (alifariki Reggio Calabria, Italia, 78 BK) anakumbukwa kama askofu wa kwanza wa mji huo wa Calabria (Italia Kusini) kuanzia mwaka 61 hadi kifodini chake.

Sanamu yake mbele ya kanisa kuu la Reggio Calabria.

Mfuasi wa Mtume Paulo, inasemekana alifika huko pamoja naye.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini[1].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Julai.[2]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/60710
  2. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.