Sulpisi wa Bourges

Sulpisi Severi wa Bourges (alifariki Bourges, leo nchini Ufaransa, 591) alikuwa askofu wa mji huo, baada ya kuwa mbunge[1].

Dirisha la kanisa kuu la Bourges likimuonyesha Mt. Sulpisi kwa vioo vya rangi.

Gregori wa Tours alisifu busara na juhudi zake.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 29 Januari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.