Tamathali za semi

Tamathali za semi ni matumizi ya maneno yenye maana kinyume na ile ya kawaida na yenye lengo la kutoa fundisho na kupamba sentensi kwa usanii.

Tamathali hizo ni kama vile: balagaha, ritifaa, sitiari, tabaini, tanakalisauti, tashbiha, tashihisi, tashtiti, tasifida.

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamathali za semi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.