Tarasius Mtakatifu
Tarasius Mtakatifu (kwa Kigiriki: Άγιος Ταράσιος, Agios Tarasios; Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 730 hivi – Konstantinopoli, 25 Februari 806) alikuwa Patriarki wa mji huo kuanzia 25 Desemba 784 hadi kifo chake.
Maarufu kwa maadili na ujuzi, alifungua na kufanikisha Mtaguso wa pili wa Nisea (787).
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Februari[1] au 25 Februari au 10 Machi.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana 2001 ISBN|88-209-7210-7)
Marejeo
hariri- The Oxford Dictionary of Byzantium, Oxford University Press, 1991.
- The Oxford Dictionary of the Christian Church, third edition
- Byzantium: the Early Centuries by John Julius Norwich, 1988.
Viungo vya nje
hariri- St Tarasius the Archbishop of Constantinople Orthodox icon and synaxarion
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |