Taurini wa Evreux (alifariki 411 hivi) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo[1], leo nchini Ufaransa, kwa miaka 25 hivi hadi alipouawa kwa kupinga Upagani wa wenyeji.

Mt. Taurini katika dirisha la rangi la kanisa huko Evreux.

Inasemekana alizaliwa Roma, Italia[2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Agosti[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • La Légende de saint Taurin - A.M. Baudot - 1929
  • Les Saints du diocèse d'Évreux - Abbé de Bouclon
  • Histoire du diocèse d'Évreux - Chanoine Bonnenfant - Paris - 1933
  • Histoire et géographie du département de l'Eure - Rateau et Pinet - 1870 - Réédition 1988
  • Connaissance de l'Eure - Juillet 1991 - Numéro 81 - pages 26–27 - Jacques Charles
  • Connaissance de l'Eure - 1988 - Jacques Charles
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.