Charambe
Charambe ni jina la kata ya Wilaya ya Temeke katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 15117[1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 83,401 waishio humo.[2]
Kata ya Charambe | |
Mahali pa Charambe katika Tanzania |
|
Majiranukta: 6°52′8″S 39°15′40″E / 6.86889°S 39.26111°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Dar es Salaam |
Wilaya | Temeke |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 83,401 |
Changamoto inayosumbua kata ya Charambe ni umeme na barabara pamoja na kukosekana kwa hospitali.
Tatizo lingine ni msongamano wa nyumba na shule za msingi na sekondari kukosa madarasa na madawati.
Kata ya Charambe ina shule za msingi 4 na shule ya sekondari 1.
Mwaka 2015 katika shule ya Nzasa kulitokea ajali ya mkorosho kungushwa na upepo. Katika ajali hiyo mtoto mmoja aliangukiwa lakini alipona. Maana halisi ya jina la shule Nzasa ni chanzo cha maji.
Marejeo Edit
- ↑ https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/dsm.pdf[dead link]
- ↑ 2002 Population and Housing Census General Report (en). Government of Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-02-10. Iliwekwa mnamo 2008-08-21.
Kata za Wilaya ya Temeke - Tanzania | ||
---|---|---|
Azimio | Buza | Chamazi | Chango'mbe | Charambe | Keko | Kibondemaji | Kiburugwa | Kijichi | Kilakala (Temeke) | Kilungule | Kurasini | Makangarawe | Mbagala | Mbagala Kuu | Mianzini | Miburani | Mtoni (Temeke) | Sandali | Tandika | Temeke (kata) | Toangoma | Yombo Vituka |
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Charambe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |