Teodulo, Saturnini na wenzao

Teodulo, Saturnini na wenzao Eupolo, Gelasi, Eunisiani, Zotiko, Ponsyo, Agatopo, Basilide na Evaristi (walifariki Gortina, Krete, leo nchini Ugiriki, 251 hivi) walikuwa Wakristo waliouawa kwa kukatwa kichwa kwa ajili ya imani yao ya Kikristo katika dhuluma ya kaisari Decius[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Tarehe 23 Desemba ndiyo sikukuu yao[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.