The Score
The Score ni albamu mshindi wa Tuzo za Grammy ikiwa kama albamu bora ya R&B na hip hop iliotolewa na kundi la Fugees. Albamu imetolewa dunia nzima mnamo 13 Februari 1996, imeifuata toleo lao la kwanza la mwaka wa 1994, Blunted on Reality. Tangu kutolewa kwa albamu, imepokea sifa nzuri sana kutoka katika vyombo vya habari vya muziki, na leo hii; imekuwa miongoni mwa albamu bora za Hip-hop zilizouza vizuri kwa muda wote kwa kuwa na mauzo zaidi ya milioni 18[10].
The Score | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Fugees | |||||
Imetolewa | 13 Februari 1996 | ||||
Imerekodiwa | 1995 | ||||
Aina | Alternative Hip-Hop, reggae, R&B | ||||
Urefu | 73:32 | ||||
Lebo | Ruffhouse, Columbia | ||||
Mtayarishaji | Fugees Jerry "Wonder" Duplessis Salaam Remi John Forté Diamond D |
||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
|
|||||
Wendo wa albamu za Fugees | |||||
|
Albamu ina mambo mengi, yaani, muziki umekuwa mbadala, hasa mabadiliko ya muziki wa hip hop mwishoni mwa miaka ya 1990. Miongoni mwa mabadiliko hayo ni pamoja na kuchanganya athira za muziki wa reggae na soul ndani yake, sauti za kike na mistari ya kujijua inalenga matatizo ya kijamii hasa. Suala zima la utayarishaji lilikuwa likishughulikiwa na Fugees wenyewe na Jerry "Wonder" Duplessis, kwa msaada wa Salaam Remi, John Forté, Shawn King, na Diamond D. Mwimbaji mwalikwa kwenye albamu hii ni wale wanachama wa kundi la Outsidaz' Rah Digga, Young Zee na Pacewon na vilevile Omega, John Forté, na Diamond D.
Orodha ya Nyimbo
hariri# | Jina | Urefu | Mtayarishaji (wa) | Mwimbaji (wa) |
---|---|---|---|---|
1 | "Red Intro" | 1:52 |
| |
2 | "How Many Mics" | 4:29 | Wyclef Jean, Shawn King, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis |
|
3 | "Ready or Not" | 3:47 | Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis |
|
4 | "Zealots" | 4:21 | Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis |
|
5 | "The Beast" | 5:37 | Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis |
|
6 | "Fu-Gee-La" | 4:20 | Salaam Remi |
|
7 | "Family Business" | 5:44 | Wyclef Jean, Lauryn Hill, John Forté, Pras, Jerry Duplessis |
|
8 | "Killing Me Softly" | 4:59 | Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis |
|
9 | "The Score" | 5:02 | Diamond D, Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis |
|
10 | "The Mask" | 4:51 | Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis |
|
11 | "Cowboys" | 5:24 | Wyclef Jean, Lauryn Hill, John Forté, Pras, Jerry Duplessis |
|
12 | "No Woman, No Cry" | 4:33 | Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis |
|
13 | "Manifest/Outro" | 6:00 | Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis |
|
14 | "Fu-Gee-La" (Refugee Camp remix) | 4:24 | Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis | John Forté, Lauryn Hill, Pras, Wyclef Jean |
15 | "Fu-Gee-La" (Sly na Robbie remix) | 5:28 | Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis | John Forté, Lauryn Hill, Pras, Wyclef Jean, Akon |
16 | "Mista Mista" | 2:42 | Wyclef Jean | Wyclef Jean |
17 | "Fu-Gee-La" (Refugee Camp Global mix) (bonus track) | 4:20 |
Single
haririTaarifa za single |
---|
"Fu-Gee-La" |
"Killing Me Softly with His Song" (toleo la Ulaya tu) |
"Ready or Not"
|
"No Woman, No Cry" (imetolewa Ulaya peke yake) |
Chati ilizoshika
haririAlbamu
haririMwaka | Albamu | Chati iliyoshika | ||
---|---|---|---|---|
Billboard 200 | Top RnaB/Hip Hop Albums | |||
1996 | The Score | #1 | #1 |
Single
haririMwaka | Wimbo | Chati iliyoshika | |||
---|---|---|---|---|---|
Billboard Hot 100 | Hot RnaB/Hip-Hop Singles na Tracks | Hot Dance Music/Maxi-Singles Sales | Rhythmic Top 40 | ||
1995 | "Fu-Gee-La" | #29 | #13 | #1 | #26 |
1996 | "Killing Me Softly With His Song" | #2 (Airplay) | #1 (Airplay) | - | #1 |
1996 | "Ready or Not" | #69 (Airplay) | #22 (Airplay) | - | #34 |
Matunukio
haririNchi | Matunukio | Mauzo |
---|---|---|
Austria | Platinum | 20,000[11] |
Kanada | 5x Platinum | 500,000[12] |
Ulaya | 5x Platinum | 5,000,000 [1] Ilihifadhiwa 11 Oktoba 2008 kwenye Wayback Machine. |
Ufaransa | 1x Diamond | 1,000,000 |
Ujerumani | Platinum | 500,000[13] |
Uingereza | 4x Platinum | 1,200,000[14] |
Marekani | 6x Platinum | 6,000,000[15] |
Marejeo
hariri- ↑ O'Donnell, David. Review: The Score. BBC Music. Retrieved on 2009-09-21.
- ↑ Christgau, Robert. Review: The Score. Robert Christgau. Retrieved on 2009-09-21.
- ↑ Bernard, James. Review: The Score Ilihifadhiwa 9 Agosti 2009 kwenye Wayback Machine.. James Bernard. Retrieved on 2009-09-21.
- ↑ Coker, Cheo. Review: The Score. Cheo Hodari Coker. Retrieved on 2009-09-21.
- ↑ Pareles, John. Review: The Score. John Pareles. Retrieved on 2009-09-21.
- ↑ The Score, Fugees, Q Magazine, 1996, Aprili, Q Magazine, p. 109.
- ↑ Nathan, Hoard. Ranking: The Score. Rolling Stone. Retrieved on 2009-09-21.
- ↑ Reenum, Reenum. Ranking: The Score Ilihifadhiwa 11 Januari 2009 kwenye Wayback Machine.. The Source. Retrieved on 2009-09-21.
- ↑ The Score, Fugees, Spin Magazine, 1996, Machi, Spin Magazine, p. 31.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-02-09. Iliwekwa mnamo 2009-10-09.
- ↑ IFPI Austria - Verband der Österreichischen Musikwirtschaft
- ↑ "Canadian Recording Industry Association (CRIA): Certification Results". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-11. Iliwekwa mnamo 2009-10-09.
- ↑ Bundesverband Musikindustrie: Gold/Platin-Datenbank
- ↑ The Bpi
- ↑ RIAA
Viungo vya nje
hariri- The Score Ilihifadhiwa 24 Novemba 2009 kwenye Wayback Machine. at Acclaimed Music
- Album Review at BBC Music
- Album Review at RapReviews