The Fugees
The Fugees ni kundi la muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Kundi lilianza kupata umaarufu wake kunako miaka ya 1990, ambao wanapiga muziki wenye elementi ya Hip hop, soul na muziki wa Kikaribi, hasa reggae. Wanachama wa kundi hili ni rapa/mwimbaji/mtayarishaji Wyclef Jean, rapa/mwimbaji/mtayarishaji Lauryn Hill, na rapa Pras Michel.
The Fugees | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Asili yake | West Orange, New Jersey, U.S. |
Aina ya muziki | Alternative Hip-Hop, R&B, Reggae |
Miaka ya kazi | 1990–1997 2004–2007 |
Studio | Ruffhouse/Columbia Records |
Tovuti | Official Fugees Website |
Wanachama wa zamani | |
Lauryn Hill Wyclef Jean Pras |
Jina lao linatokana na istilahi ya refugees, yaani, wakimbizi. Jean na Michel ni Wahaiti-Waaerika, wakati Hill ni Mwafrika-Mwamerika. Kundi limerekodi alabamu mbili— moja kati ya hizo ni The Score (1996), ilitapa kutunukiwa maplatinum-mengi na pia imepata kushinda Tuzo ya Grammy — kabla ya kuua kundi mnamo 1997.
Hill na Jean kila mmoja amekwenda kuapata mafanikio makubwa sana wakiwa kama wasanii wa wakujitegemea; Michel akajikita kwenye masuala ya kurekodi vibwagizo vya filamu na uigizaji, ingawaje alipata mafanikio makubwa kabisa baada ya kutoa wimbo wake wa "Ghetto Supastar". Mnamo 2007, MTV wamepandishi nafasi ya 9 wakiwa kama kundi bora la Hip-hop la muda wote[1]
Historia
haririDiskografia
haririMwaka | Jina | Chati | Mauzo ya Dunia Nzima | ||
---|---|---|---|---|---|
Billboard 200 |
Top R&B/ Hip-Hop |
UK Albums | |||
1994 | Blunted on Reality | — | 62 | — | 4,058,697 copies |
1996 | The Score | 1 | 1 | 2 | RIAA certification: 6x Platinum
|
Bootleg Versions | 127 | 50 | 55 | — | |
2003 | Greatest Hits | — | — | — | — |
Masingle yao
haririMwaka | Wimbo | Chart positions[2] | Albamu | |||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
U.S. Hot 100 | U.S. Hot 100 Airplay | U.S. R&B | U.S. Rap | UK | Italy Singles Chart | |||
1993 | "Boof Baf" | — | — | — | — | — | — | Blunted on Reality |
1994 | "Nappy Heads (Remix)" | 49 | — | 52 | 12 | 172 | — | |
"Vocab" | — | — | 91 | 22 | — | — | ||
1996 | "Fu-Gee-La" | 29 | — | 13 | 2 | 21 | — | The Score |
"Killing Me Softly" | — | 2 | 1 | — | 1 | 1 | ||
"Ready or Not" | — | 69 | 22 | — | 1 | 6 | ||
"No Woman, No Cry" (wakiwa na Stephen Marley) | — | 38 | 58 | — | 2 | 16 | ||
1997 | "Hip-Hopera" (Bounty Killer akish. Fugees) | 81 | — | 54 | 14 | — | — | My Xperience |
"Rumble in the Jungle" (wakim. A Tribe Called Quest, Busta Rhymes na John Forté) | — | 71 | — | 3 | — | — | When We Were Kings soundtrack | |
2005 | "Take It Easy" | 119A | — | 40 | — | — | — | Non-album single |
A Zilizoshika kwenye chati za Billboard Bubbling Under Hot 100 Singles.
Marejeo
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-04-30. Iliwekwa mnamo 2009-10-05.
- ↑ Artist Chart History. Billboard. Accessed 9 Agosti 2007.
Viungo vya Nje
hariri- Official Fugees Website Ilihifadhiwa 10 Mei 2007 kwenye Wayback Machine.
- Fugees at Discogs
- Hot 99.5 Live Performance Recap
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu The Fugees kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |