Theodoros Kontidis

Theodoros Kontidis, S.J. (amezaliwa Thesalonike, Ugiriki, 11 Machi 1956) ni askofu wa Kanisa Katoliki nchini Ugiriki.

Alipata kwanza upadrisho katika Shirika la Yesu tarehe 9 Oktoba 1988.

Tarehe 14 Julai 2021 ametangazwa kuwa askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Athens.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.