Theofilo wa Bulgaria

Theofilo wa Bulgaria (alifariki karne ya 8) alikuwa mmonaki Mkristo ambaye, aliteswa akapelekwa uhamishoni kwa sababu alimpinga kaisari Leo III wa Bizanti, adui wa picha takatifu [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Oktoba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.