Theogene (alifariki 258) alikuwa askofu wa Hippo (leo Annaba nchini Algeria).

Alishiriki Mtaguso wa Karthago ulioitishwa na Sipriani mwaka 250 hivi.

Aliuawa pamoja na Wakristo wengine 36 wakati wa dhuluma ya kaisari Valerian[1].

Augustino wa Hippo aliandika juu yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Januari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.