Open main menu

Kaizari Valerian

(Elekezwa kutoka Valerian)
Shaba inayoonyesha Kaizari Valerian

Publius Licinius Valerianus (takriban 200260) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia Septemba 253 hadi kifo chake. Alitawala pamoja na mwana wake, Kaizari Galienus. Walimfuata Aemilianus.

Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Valerian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.