Theotimo, Filotheo na wenzao

Theotimo, Filotheo na wenzao Timotheo na Ausensi (walifariki Kaisarea Baharini, leo nchini Israeli, 307) walikuwa Mkristo waliouawa katika mji huo kwa sababu ya imani yao katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano.

Watatu wa kwanza walikuwa vijana wakatumiwa uwanjani kuburudisha watu kwa kujaribu kujihami wasiuawe, wa nne alikuwa mzee akatupwa kwa wanyamapori kama chakula chao.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadimishwa tarehe 5 Novemba[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.