Thomas Lemar

Mchezaji mpira wa Ufaransa

Thomas Lemar (amezaliwa tarehe 12 Novemba mwaka 1995) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anachezea timu ya taifa ya Ufaransa na klabu ya nchi ya Monaco iliyoko karibu na Ufaransa. Anajulikana kwa ushujaa wake.

Thomas Lemar akiwa kwenye klabu ya Monaco

Lemar alianza kazi yake ya juu katika Caen mwaka 2013. Alicheza mara 32 kwa klabu kabla ya kuhamia Monaco kwa £ milioni 3.4 mwaka 2015.

Amewakilisha Ufaransa kila ngazi kutoka chini ya miaka 17 hadi chini ya miaka 21 na alicheza mchezo wake wa kimataifa wa kwanza mwaka 2016 dhidi ya Ivory Coast.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thomas Lemar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.