Thorgan Hazard
Thorgan Hazard(amezaliwa tarehe 29 Machi mwaka 1993) ni mchezaji wa soka wa Ubelgiji ambaye kwa sasa anacheza kama kiungo wa kushambulia au kama winga wa klabu ya Ujerumani iitwayo Borussia Mönchengladbach iiliyopo ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga na timu ya taifa ya Ubelgiji.
Yeye ni ndugu mdogo kwa Eden Hazard na kaka wa Kylian Hazard.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Thorgan Hazard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |