Tikhon wa Zadonsk
Tikhon of Zadonsk (jina la awali: Тимофей Савельевич Соколов, Timofey Savelyevich Sokolov; Korotsko, 1724 – Zadonsk, 1783) alikuwa mmonaki, askofu na mwandishi wa maisha ya kiroho kutoka Urusi.
Mwaka 1861 Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi lilimtangaza mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Agosti na tarehe 14 Mei.
Maisha yake yalitumiwa na Fyodor Dostoyevski kuandika juu ya wahusika askofu Tikhon katika kitabu chake Mashetani[1] tena Alyosha Karamazov na mzee Zosima katika kitabu Ndugu Karamazov.[2]
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Frank, Joseph (2010). Dostoevsky A Writer in His Time. New Jersey: Princeton University Press. uk. 606. ISBN 978-0-691-12819-1.
- ↑ See N. Gorodetsky, Saint Tikhon of Zadonsk: Inspirer of Dostoyevsky (1951)
Viungo vya nje
hariri- Tikhon of Zadonsk article from OrthodoxWiki
- St Tikhon. Bishop of Voronezh and Wonderworker of Zadonsk and All Russia Orthodox icon and synaxarion
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |