Timotheo IV wa Aleksandria

Timotheo IV wa Aleksandria (alifariki 20 Februari 535) kuanzia mwaka 517 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 32 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu kwa jina la Timotheo III.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.