Timotheo I wa Aleksandria

Timotheo I wa Aleksandria (alifariki 20 Julai 384) kuanzia mwaka 381 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 22 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu[1].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Alisimamia Mtaguso wa pili wa Konstantinopoli (381) ulioitishwa na kaisari Theodosius I.[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Fros, Henryk; Franciszek Sowa (2004). Księga imion i świętych (kwa Polish) 5. Kraków: Wydawnictwo WAM. uk. 579. ISBN 83-7318-376-0. 
  2. "Lives of Saints :: Abib 26". www.copticchurch.net. Iliwekwa mnamo 2018-03-14. 

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.