TypeScript
TypeScript ni lugha ya programu. Iliundwa na Anders Hejlsberg na ilianzishwa tarehe 12 Februari 2012. Iliundwa ili kuumba programu. Leo tunatumia TypeScript 3.8.2. Ilivutwa na Javascript.
TypeScript | |
---|---|
Shina la studio | namna : namna nyingi inaozingatiwa kuhusu kipengee |
Imeanzishwa | Februari 12 2012 |
Mwanzilishi | Anders Hejlsberg |
Ilivyo sasa | Ilivutwa na: C#, Java, JavaScript
Ilivuta: AtScript, AssemblyScript |
Mahala | Microsoft |
Tovuti | https://www.typescriptlang.org |
Inaitwa TypeScript kwa sababu ni mageuzi ya Javascript, lugha ya programu nyingine.
Historia
haririIlianzishwa 12 Februari 2012 nchini Marekani. Lakini Anders Hejlsberg alianza kufanya kazi kuhusu TypeScript mwaka wa 2010.
Falsafa
haririNamna ya TypeScript ni namna nyingi na inaozingatiwa kuhusu kipengee.
Sintaksia
haririSintaksia ya TypeScript ni rahisi sana kinyume cha lugha za programu nyingine kama C++, COBOL au C sharp. Ilivutwa na sintaksia ya Java, lugha ya programu nyingine.
Mifano ya TypeScript
haririProgramu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».
var ujumbe:string = "Jambo ulimwengu !" ;
console.log(ujumbe);
Programu kwa kupata factoria ya namba moja.
module FactorialModule {
export class FactorialClass {
fact: number = 1;
factorial(n: number) {
while (n > 0) {
this.fact = this.fact * n;
n = n - 1;
}
return this.fact;
}
}
}
Marejeo
hariri- Bierman, G., Abadi, M., & Torgersen, M. (2014, July). Understanding typescript. In European Conference on Object-Oriented Programming (pp. 257-281). Springer, Berlin, Heidelberg.
- Richards, G., Zappa Nardelli, F., & Vitek, J. (2015). Concrete types for TypeScript. In 29th European Conference on Object-Oriented Programming (ECOOP 2015). Schloss Dagstuhl-Leibniz-Zentrum fuer Informatik.