Ugo wa Rouen (pia: Hugh; alifariki Jumièges, leo nchini Ufaransa, 730) alikuwa askofu wa Rouen, Ufaransa kuanzia mwaka 722 na aliongoza pia makanisa ya Paris na Bayeux[1].

Ugo katika kioo cha rangi cha basilika la Notre-Dame de Bonsecours.

Mtoto wa ukoo wa kifalme[2], alikuwa amejiunga na monasteri mwaka 718; mwishoni mwa maisha yake alirudi huko.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Aprili[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Vyanzo vikuu

hariri
  • Gesta Hugonis archiepiscopi Rotomagensis in the Gesta (sanctorum patrum) Fontanellensis coenobii (dated between about 833 and 840), ed. Samuel Löwenfeld. Gesta Abbatum Fontanellensium. MGH Scriptores rer. Germ. 28. Hanover, 1886 (reprinted 1980). 26-8; ed. F. Lohier and J. Laporte. Gesta sanctorum patrum Fontanellensis coenobii. Société de l'histoire de Normandie. Rouen, 1936. 37–43.
  • Another ninth-century Vita, associated with Jumièges, ed. Joseph van der Straeten, "Vie inédite de S. Hugues évêque de Rouen." Analecta Bollandiana 87 (1969): 215–60. Based primarily on Rouen BM 1377 (U 108) f. 135r-150r.
  • Baldric of Dol, Vita S. Hugonis, ed. MPL 166. 1163–72. Available online from the Documenta Catholica Omnia

Vyanzo vingine

hariri
  • Urdang, Laurence. Holidays and Anniversaries of the World. Detroit: Gale Research Company, 1985. ISBN 0-8103-1546-7.
  • Lifshitz, Felice. The Norman Conquest of Pious Neustria: Historiographic Discourse and Saintly Relics, 684-1090. Studies and Texts 122. Toronto: Pontifical Institute of Mediaeval Studies, 1995.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.