Ulinzi wa Mama wa Mungu

Ulinzi wa Mama wa Mungu (kwa Kigiriki Σκέπη, Sképē; kwa Kislavi cha Kikanisa Покровъ, Pokrov, yaani "ulinzi") ni sikukuu ya Bikira Maria inayoadhimishwa na Waorthodoksi na Wakatoliki wa Mashariki wanaofuata mapokeo ya Kigiriki.

Picha takatifu ya Kirusi ya Pokrov.
Mwaka wa liturujia
Magharibi
Mashariki

Inatokana na imani ya Wakristo wengi katika uwezo wa sala ya Mama wa Mungu kwa ajili ya binadamu.

Tarehe ya sikukuu hiyo ni 14 Oktoba (1 Oktoba kadiri ya kalenda ya Juliasi).

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ulinzi wa Mama wa Mungu kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.