Ulpiani wa Turo
Ulpiani wa Turo (Turo, Foinike, leo nchini Lebanoni, 290 hivi - Turo, 306) alikuwa mvulana Mkristo ambaye, kwa ajili ya imani yake, alifungwa ndani ya gunia pamoja na mbwa na nyoka akatoswa baharini katika dhuluma ya kaisari Masimino Daia[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |