Urbani, Theodori na wenzao
Urbani, Theodori na wenzao 78, akiwemo Menedemo, (walifariki karibu na Nikomedia, leo Izmit, nchini Uturuki, 370 hivi) walikuwa Wakristo wa Dola la Roma, wakleri kwa walei, waliofia imani sahihi wakati wa kaisari Valens aliyefuata Uario. Walipandishwa juu ya boti ambalo lilichomwa moto kati ya bahari [1].
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 5 Septemba.[2]
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/69230
- ↑ Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001, ISBN|88-209-7210-7)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |