Valentini na Hilari

Valentini na Hilari (walifariki Viterbo, Italia ya Kati, 305 hivi) ni kati ya mashahidi wa imani ya Kikristo waliouawa katika Dola la Roma wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano.

Inasemekana Valentini alikuwa padri na Hilari shemasi[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 3 Novemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.