Kisiwa Vancouver

(Elekezwa kutoka Kisiwa cha Vancouver)

49°30′N 125°30′W / 49.500°N 125.500°W / 49.500; -125.500[1]

Ramani ya kisiwa.
Vancouver Island is separated from mainland British Columbia by the Strait of Georgia and Queen Charlotte Strait, and from Washington by the Juan De Fuca Strait.

Kisiwa Vancouver (kwa Kiingereza: Vancouver Island) kiko katika bahari ya Pasifiki, karibu sana na pwani ya Kanada. Ni sehemu ya British Columbia. Urefu unafikia km 460 na upana km 100,[2]. Eneo lake lote ni km2 32134.

Kilele cha juu ni mlima Golden Hinde wenye kimo cha m 2,195 juu ya usawa wa bahari[3].

Mwaka 2016 wakazi walikuwa 775,347.

Tanbihi

hariri
  1. "The Atlas of Canada – Sea Islands". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-28. Iliwekwa mnamo 2010-09-16.
  2. "Regional Geography - Vancouver Island, BC - Destination BC - Official Site". Hellobc.com. Iliwekwa mnamo 8 Januari 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "BC Parks – Strathcona Provincial Park, Central Vancouver Island, British Columbia". Iliwekwa mnamo 2010-09-16.

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

  Kisiwa Vancouver travel guide kutoka Wikisafiri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kisiwa Vancouver kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.