Varsha Nair

Msanii wa India

Varsha Nair (alizaliwa Kampala, Uganda, 1957) ni msanii mwenye asili ya Uhindi.[1] Ni maarufu kwa hisia za kuhama.[2] Alipata mafunzo kutoka chuo kikuu cha Baroda na kuhamia Bangkok mwaka 1995 na baadae kuhamia Uingereza akitoka India na kurudi. Saikolojia ya hisia za kuhama iliyotengenezwa wakati wake wa kuhamahama zimewekwa katika kazi zake.[3] kazi hizi zimeelezewa kishahiri katika kwa aina yake kama mahusiana na nafasi huishi.[3] Alikua sehemu ya kikundi mkakati cha kwanza kilichotengeneza Womanifesto, jukwaa la kuonyesha wasanii wa kimataifa nchini Thailand.[4]

Varsha Nair
Amezaliwa Varsha Nair
Kampala,Uganda, 1957
Kampala,Uganda
Nchi Uganda
Majina mengine Varsha Nair
Kazi yake Msanii wa Filamu







Ameonyesha pia katika makumbusho mbalimbali na vinchanja kikiwemo Kichanja cha Guild cha sanaa cha Mumbai[2] na Tate Modern.[5]

Marejeo

hariri
  1. "Varsha Nair - About". Varsha Nair (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-03-30.
  2. 2.0 2.1 "Nair, Varsha | Artist Profile with Bio". www.mutualart.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-03-30.
  3. 3.0 3.1 Archive, Asia Art. "Interview with Varsha Nair". aaa.org.hk (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-03-30.
  4. Asia through art and anthropology : cultural translation across borders. Nakamura, Fuyubi, 1974-, Perkins, Morgan,, Krischer, Olivier,, Morphy, Howard,, 中村, 冬日, 1974-. London. 5 Desemba 2013. ISBN 978-0857854483. OCLC 862112488.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: location missing publisher (link) CS1 maint: others (link)
  5. "ArtAsiaPacific: Still Moving Image". artasiapacific.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-03-30.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Varsha Nair kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.