Venansi wa Viviers

Venansi wa Viviers (pia: Venant, Venance, Venantius; karne ya 5 - 544 hivi) alikuwa askofu wa 4 [1] wa Viviers (leo nchini Ufaransa) kuanzia mwaka 517 hadi kifo chake [2][3][4][5].

Sanamu yake.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Agosti[6].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Duchesne, Fastes épiscopaux…, vol. I, pp. 235-236.
  2. Mathon, Bibliotheca Sanctorum, V, col. 873.
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/51380
  4. Charles Beaunier, Recueil Historique, Chronologique, Et Topographique, Des Archevechez, Evêchez, Abbayes Et Prieurez De France, Tant D'Hommes, Que De Filles, De Nomination Et Collation Royale, Mesnier, 1726, p. 1006 [1]
  5. Bénédictins de Ramsgate, Dix mille saints, dictionnaire hagiographique, 1991, Brepols.
  6. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo hariri

  • (Kiitalia) Marie-Odile Garrigues, Venanzio, vescovo di Viviers, santo, in «Bibliotheca Sanctorum», vol. XII, coll. 984-985

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.