Vulmari

Vulmari (pia: Ulmar, Vilmer, Vulmaire, Vulmar, Vulmarus, Wulmar; Boulogne, leo nchini Ufaransa, karne ya 7 - 689 hivi) alikuwa mtu wa ndoa ambaye, baada ya kunyang'anywa mke wake, akawa mmonaki, halafu padri ambaye hatimaye alianzisha monasteri mbili, moja kwa wanaume, nyingine kwa wanawake[1].

Mt. Vulmari.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Julai[2].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

VyanzoEdit

  • Baring-Gould, Sabine (1882), The Lives of the Saints, J. Hodges, retrieved 2021-07-13 
  • Butler, Alban (1956), Thurston, Herbert; Attwater, Donald, eds., Butler's Lives of the Saints, III July August September, Westminster, Maryland: Christian Classics Inc., ISBN 0870610481, retrieved 2021-07-13 
  • Drake, Maurice; Drake, Wilfred (1916-01-01), Saints and their emblems, Dalcassian Publishing Company, GGKEY:PR7E6H0KXDH, retrieved 2021-07-13 
  • Humanistica Lovaniensia, 11 History Of The Foundation And The Rise Of The Collegium Trilingue Lovaniense 1517-1550: Part The Second : The Development, Leuven University Press, 1953, pp. 387–515 
  • St Vulmar, British Museum, retrieved 2021-07-13 

Marejeo mengineEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.