Wafiadini wa Mar Saba (16 Mei)

Wafiadini wa Mar Saba (walifia dini katika monasteri ya Mar Saba, leo nchini Palestina, 614) walikuwa wamonaki Wakristo 44 waliokatwa vipandevipande kwa ajili ya imani yao wakati wa uvamizi wa Waislamu[1].

Monasteri ya Mar Saba kutoka juu.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 16 Mei[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.