Wafiadini wa Voli
Wafiadini wa Voli (walifariki Voli, karibu na Karthago, leo nchini Tunisia, katika karne ya 3) walikuwa Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao.
Augustino wa Hippo alitoa hotuba moja juu yao[1].
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |