Wamersedari Wafiadini wa Afrika

Wamersedari Wafiadini wa Afrika walikuwa watawa wa shirika la Wamersedari ambao, kadiri ya karama yao, walifika Afrika ili kukomboa watumwa wa Waislamu, lakini hatimaye walifia imani yao [1].

Waliheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 7 Februari.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.