Waminimi (kwa Kilatini Ordo Minimorum) ni watawa wa Kanisa Katoliki wanaomfuata mkaapweke Fransisko wa Paola kutoka Italia kusini.

Lebo ya shirika ya Waminimi
Fransisko wa Paola, mwanzilishi wa shirika.
Kanzu ya Waminimi
Kanisa la San Francesco di Paola ai Monti mjini Roma, makao makuu ya shirika.
Patakatifu pa Fransisko wa Paola.

Mwishoni mwa mwaka 2008 shirika lilikuwa na watawa 180, kati yao mapadri 112, katika konventi 45 ambazo ziko Ulaya (Uceki, Italia, Hispania, Ukraina) na Amerika (Brazil, Colombia, Mexico, Marekani).[1][2]

Waminimi maarufu wa Ufaransa Edit

Viungo vya nje Edit

  1. Kigezo:Cita web
  2. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named ap