Jerini wa Autun
(Elekezwa kutoka Warinus)
Jerini wa Autun (pia: Warinus, Warin, Varinus, Guerin, Gerinus, Ger; Autun, 620 hivi - Arras, 677) alikuwa kabaila wa Poitiers na Paris[1], mtoto wa mtakatifu Sigrada na mdogo wa Leodegari, askofu wa Autun, leo nchini Ufaransa [2][3].
Kwa kuwa alimpinga Ebroini, mkuu wa ikulu ya mfalme Theodoriki III, aliyetaka kupindua utawala wa ukoo wa Wamerovinji, aliuawa kwa kupigwa mawe [4][5].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Mwanae pia, askofu Lidwini wa Trier, anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Oktoba pamoja na kaka yake aliyeuawa na Ebroini miaka miwili baadaye [6].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Weiner, Dr. Andreas. "Holy Lutwinus Pray for Us! (Heiliger Lutwinus bitte für uns!)". www.lutwinuswerk.de. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-09-26. Iliwekwa mnamo Juni 28, 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Butler, Rev. Alban. "The Lives of the Saints, Volume X: October". St. Leodegarius, or Leger, Bishop and Martyr. bartleby.com. Iliwekwa mnamo Juni 28, 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/90609
- ↑ "Saints & Angels: St. Warinus". Catholic Online. catholic.org. Iliwekwa mnamo Juni 28, 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/90284
- ↑ Martyrologium Romanum
Vyanzo
hariri- Liber Historiae Francorum, edited by B. Krusch, in MGH SS rer. Merov. vol. ii.
- J. Friedrich, Zur Geschichte des Hausmeiers Ebroin, in the Proceedings of the Academy of Munich (1887, pp. 42–61)
Viungo vya nje
hariri- Online, Catholic. "St. Warinus - Saints & Angels - Catholic Online".
- "CATHOLIC ENCYCLOPEDIA: Saint Leodegar".
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |