Open main menu

Wasumbwa ni Kabila la Watu kutoka eneo la wilaya ya Bukombe, Mkoa wa Geita, Kaskazini mwa nchi ya Tanzania.

Mwaka 1987 Idadi ya Wasumbwa ilikadiriwa kuwa 191,000 [1].

Lugha yao ni Kisumbwa, jamii ya Kisukuma na Kinyamwezi.

Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wasumbwa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.