Wikipedia:Jumuiya/Kumbukumbu Desemba 2009 hadi Desemba 2011
Ukurasa mama ni Wikipedia:Jumuia
Lugha zenye makala zaidi ya 100,000
haririI think that "Lugha zenye makala zaidi ya 100,000" should be expanded to one also saying "Lugha zenye makala zaidi ya 250,000". Today, a lot of Wikipedias has way more than 100,000, and I think it would be easier to compare. But before changing, I want everyone wanting to say something to say so. Tanzania - see Swedish wikipedia 21:53, 23 Februari 2010 (UTC)
- I support this suggestion. Are you also volunteering to update the list from time to time? Nakubali na pendekezo hili la kuonyesha orodha mbili za wiki zenye makala nyingi (zaidi ya 250000 na zaidi ya 100000) kwenye ukurasa wa mwanzo. Idadi ya wiki zenye makala zaidi ya 250,000 sasa ni 12, na kuna wiki 19 zinazo makala zaidi na 100,000, jumla ya wiki 31. Namwomba bwana huyu pia ashughulike orodha mara kwa mara. Lloffiwr (majadiliano) 13:06, 27 Februari 2010 (UTC)
- I could update it as often as possible. I try to change it now. Tanzania - see Swedish wikipedia 22:08, 27 Februari 2010 (UTC)
- Looks good. Lloffiwr (majadiliano) 22:53, 27 Februari 2010 (UTC)
- Good then. Tanzania - see Swedish wikipedia 10:38, 28 Februari 2010 (UTC)
- Looks good. Lloffiwr (majadiliano) 22:53, 27 Februari 2010 (UTC)
- I could update it as often as possible. I try to change it now. Tanzania - see Swedish wikipedia 22:08, 27 Februari 2010 (UTC)
Ombi la msaada wa mkabidhi
haririNaomba msaada wa mkabidhi kutafsiri ujumbe mmoja, kama ninavyoeleza kule MediaWiki_majadiliano:Searchprofile-articles. Lloffiwr (majadiliano) 22:42, 28 Februari 2010 (UTC)
- Imefanyika.--MwanaharakatiLonga 08:35, 1 Machi 2010 (UTC)
Front page
haririJambo. Today, the front page of Swahili Wikipedia is in need of a refreshment, I think. There are "Did you know"- articles that have been there for a very long time, and the picture/article of the week has not been changed for a very long time either. I think, that we either should take away this parts, or that someone updates it. I can't, due to my knowledges in Swahili, but I hope someone else can. Tanzania - see Swedish wikipedia 21:17, 4 Machi 2010 (UTC)
- Salam! It's true that the selected article have been there for quite a long time now. But the problem is we don't have many people to do the selection for the new articles. If you think you can help with this, then we can copy or refer any other wikis page for keeping the page more useful. For instance, you can write your suggestions or select prefered article which will be used for DID YOU KNOW (even if you wrote it in English) - I'll do the translation on it. Also, if you can make it just even a once for fortnight - we'll be together! I was about to change the main page article yesterday, but time was my major obstacle. Si kitu. I'll change the page today and if you're ready to do the changes on the "Je, wajua, then notice me through Yahoo! Messenger! Cheers.--MwanaharakatiLonga 07:35, 5 Machi 2010 (UTC)
- I'll true to do what I can, at least update it more often. Tanzania - see Swedish wikipedia 17:09, 5 Machi 2010 (UTC)
Wikimania Scholarships
haririThe call for applications for Wikimania Scholarships to attend Wikimania 2010 in Gdansk, Poland (July 9-11) is now open. The Wikimedia Foundation offers Scholarships to pay for selected individuals' round trip travel, accommodations, and registration at the conference. To apply, visit the Wikimania 2010 scholarships information page, click the secure link available there, and fill out the form to apply. For additional information, please visit the Scholarships information and FAQ pages:
Yours very truly,
Cary Bass
Volunteer Coordinator
Wikimedia Foundation
- Nitasafiri kwenda Wikimania katika Poland, na ningependa kukuta watu kutoka sw.Wikipedia huko! Ninataka kusema Kiswahili na nyinyi. :) Jon Harald Søby (majadiliano) 16:59, 17 Mei 2010 (UTC)
- Pole! Sidhani kama hata kuna mmoja kati yetu ameenda au ataenda kwenye mkutano huo. Ila, ninahisi kwamba Ndesanjo huenda akawepo - hivyo ataweza kuzungumza nawe. Je, ulishawahi kufanya mazungumzo yoyote na Ndesanjo? Hebu muulize kama ataenda au la.--MwanaharakatiLonga 17:27, 17 Mei 2010 (UTC)
Soka 2010
haririHi, what are we doing for the World Cup?--Mr Accountable (majadiliano) 19:09, 9 Mei 2010 (UTC)
- Hi, good question, but don't think if we do have someone who has an interest on writing soccer's articles. A few of them, and their presence are also the very poor - so we can't do nothing. Do you want to start write about it?--MwanaharakatiLonga 06:32, 10 Mei 2010 (UTC)
- A lot of people wrote good soccer articles for the KWC. I wish they had the time. As far as I am concerned, we can write mbegu for each of the 32 national teams: The Brazilian National Football Team represents Brazil in international football competition and is managed by the pt:Confederação Brasileira de Futebol ... Roster: The current roster is as follows: ---. .... Tazama pia ... Viungo... --Mr Accountable (majadiliano) 16:56, 10 Mei 2010 (UTC)
- mfano Timu ya kitaifa ya soka ya Kenya. --Mr Accountable (majadiliano) 17:05, 10 Mei 2010 (UTC)
- Hi, I can't say or promise anything now because I'm trying to improve Tupac's articles. Maybe when I finish this, I'll try my best to do something on it. Yours,--MwanaharakatiLonga 13:06, 11 Mei 2010 (UTC)
- I will use the opening paragraph of this article to write 32 stubs: Timu ya kitaifa ya soka ya Kenya. Mr Accountable (majadiliano) 19:15, 13 Mei 2010 (UTC)
- Hi, I can't say or promise anything now because I'm trying to improve Tupac's articles. Maybe when I finish this, I'll try my best to do something on it. Yours,--MwanaharakatiLonga 13:06, 11 Mei 2010 (UTC)
Connectivity Project sw
haririHallo, my name is Anastasiya Lvova, I'm "duty" in Connectivity project. The essence of the "Connectivity" project is to study and enhance the coherence of Wikipedia, or, in other words, to improve hypertext navigation between articles. The project deals with deadends, isolated articles, non-categorized articles, transitivity of the category tree, etc.
We want to work with your language version, but we need MediaWiki:Disambiguationspage for it. Is it possible to configure it for our usage?
thanks in advance, Lvova (majadiliano) 14:26, 10 Juni 2010 (UTC)
- Imefanyika.--MwanaharakatiLonga 16:25, 10 Juni 2010 (UTC)
- Thank you! I'll update project's page today. Lvova (majadiliano) 16:34, 10 Juni 2010 (UTC)
- Would you be so kind to let us know about its status?--MwanaharakatiLonga 16:40, 10 Juni 2010 (UTC)
- Imefanyika. now and will be updated closedaily Lvova (majadiliano) 17:55, 10 Juni 2010 (UTC)
- Would you be so kind to let us know about its status?--MwanaharakatiLonga 16:40, 10 Juni 2010 (UTC)
- Thanks for the notice! We can still cooperate with you if need help from us! Cheers.--MwanaharakatiLonga 18:20, 10 Juni 2010 (UTC)
- Oh! :) now your community may link isolated articles to each other or translate our interface, but it is programm-maximum ;) Lvova (majadiliano) 18:27, 10 Juni 2010 (UTC)
- Thanks for the notice! We can still cooperate with you if need help from us! Cheers.--MwanaharakatiLonga 18:20, 10 Juni 2010 (UTC)
- Anastasia, kindly help me to understand what your project is doing differently from existing links like Maalum:KurasaZilizoondoshwa, Maalum:KurasaPweke or Maalum:KurasaZisizonajamii - which I go through once in a while whenver I feel a bit bored...?
- Then I do not understand on your project page if " orphaned articles" are the same like "Dead-end articles"? If yes, why two different names? What is the meaning of "Isolated articles" if they are not quite isolated? Do you quantify that?
- What is the meaning of "thus it is necessary to configure categories for chronological articles on page"?
- What is the meaning if I see that "Each article is linked from and links in average 23 articles" - any comparison for that figure (looks to me alot for our wiki - maybe it is very little???)
- What means "main namespace redirects with redundant links" ?? Kipala (majadiliano) 19:59, 10 Juni 2010 (UTC)
- My English isn't very good, so let me use existent texts, please: http://medeyko.com/lvova/Doklad/ (full_talk.txt). It is my talk about the project from Poland Wikiconference: there are answers about special pages, differences above orphaned and dead-end pages, and others. If it will not help, I'll try to explain in other words, but I hope... :)
- Chronological articles are next project's setting. There are only 4 language that set it up: ru, uk, os, sah. It is articles about years, dates, etc; if we'll know their's category, we'll be able to receive more information about connectivity.
- If you try to edit "redirects with redundant links" you'll see that they are containing some other text with links in addition to #REDIRECT[[article name]]. Lvova (majadiliano) 05:58, 11 Juni 2010 (UTC)
Tafsiri ya "Wikipedia Usability Initiative" kwa Kiswahili
haririSalam, Wanawikipedia wenzangui. Nimekuwa nikishirikiana kwa muda mrefu sana na mtumiaji:Lloffiwr kule kwenye translatewiki.net. Lakini si vibaya pia tukipata muswaada wa mawazo yenu ya utafsiri wa kina wa "Wikipedia Usability Initiative". Labda tuseme: Mpango wa Urahisishaji wa Matumizi ya Wikipedia? Au kuna wazo gani mlilonalo wanajumuia wenzangu? Ni muhimu sana tuwe na sauti ya pamoja. Kila la kheri. Wenu, Muddyb au,--MwanaharakatiLonga 13:32, 3 Julai 2010 (UTC)
- Asante kwa bidii zenu upande wa tafsiri za mambo muhimu nje ya sw:wp. Kwanza nilifikiri kuwa 'initiative' ni tofauti na mpango, ila baadaye niliona kuwa wala 'ari' wala 'mradi' zisingefaa. Kwa hiyo, nawaunga mkono upande wa 'Mpango wa Urahisishaji wa Matumizi ya Wikipedia'. Hongereni sana! --Baba Tabita (majadiliano) 17:11, 3 Julai 2010 (UTC)
- Mimi napendekeza 'Hatua ya Urahisishaji wa Matumizi ya Wikipedia'. ChriKo (majadiliano) 23:17, 4 Julai 2010 (UTC)
- Ahsanteni kwa majibu yenu ya haraka. ChriKo pendekezo lako limepita! Mpango kama jinsi Baba Tabita alivyotoa mifano hai yenye kutoa maana sanifu, lakini pia muda huohuo akakataa tafsiri ya "sisisi" kama mwenyewe asemavyo mara kwa mara! Basi itakuwa "Hatua ya Urahisishaji wa Matumizi ya Wikipedia". Ahsanteni sana.--MwanaharakatiLonga 06:05, 5 Julai 2010 (UTC)
Kundi za watumiaji
haririNaomba msaada wa kutunga majina ya kundi za watumiaji hapa Wikipedia. Tukikubaliana majina ya kiswahili, nitayaweka katika mradi wa translatewiki.net, majina yatumike katika kila mradi wa MediaWiki inayoandikwa kiswahili. Kundi za watumiaji na wezo zao zinaelezwa hapa. Tafadhali mweke mapendekezo na maoni hapo chini:
- Bureaucrat
- Mapendekezo: Mrasimu...
- Ingawa sipendi maana ya cheo hiki (hata kwa Kiingereza ina kidokezo cha kushusha heshima = "derogatory connotation"), sina tafsiri zuri zaidi :( basi tuendelee na 'mrasimu'. --Baba Tabita (majadiliano) 08:33, 31 Julai 2010 (UTC)
- Autoconfirmed user
- Mapendekezo: Mtumiaji alieythibitishwa na tarakilishi
- Lazima kurekebisha 'aliyethibitishwa' tu. --Baba Tabita (majadiliano) 08:33, 31 Julai 2010 (UTC)
- Check user
- Mapendekezo: Mkaguzi wa watumiaji
- Steward
- Mapendekezo: Mkadamu
- Account creator
- Mapendekezo: Mwanzilishaji wa akaunti --Baba Tabita (majadiliano) 08:33, 31 Julai 2010 (UTC)
- Importer
- Mapendekezo: Mwingizaji
- Transwiki importer
- Mapendedezo: Mwingizaji kati za wiki
- IP block exemption
- Oversighter
- Confirmed user
- Mapendekezo: Mtumiaji aliyethibitishwa
Lloffiwr (majadiliano) 19:38, 25 Julai 2010 (UTC)
Majina yamewekwa kule translatewiki.net. Bado kuandika maelezo katika Istilahi_za_wiki, na kutunga majina ya Kiswahili kwa ajili ya:
- IP block exemption
- Oversighter
Lloffiwr (majadiliano) 19:53, 31 Julai 2010 (UTC)
tawi la Wikimedia
haririAbbas amefaulu kuanzisha kundi la baruapepe kwa ajili ya tawi la Wikimedia Kenya hapa: https://lists.wikimedia.org/mailman/listinfo/wikimediake
Matawi ya Wikimedia hulenga kukusanya habari za elimu na kuzipatikanisha huru katika eneo fulani (angalieni http://meta.wikimedia.org/wiki/Local_chapter_FAQ#General_questions). Kwa hiyo, ukiwa unaunga mkono lengo hilo Afrika Mashariki, naomba ujiandikishe.
Abbas has successfully initiated a Wikimedia Kenya mailing list at: https://lists.wikimedia.org/mailman/listinfo/wikimediake
A Wikimedia chapter aims to make educational content freely available in a particular region (cf http://meta.wikimedia.org/wiki/Local_chapter_FAQ#General_questions). So if you’re supporting that aim for East Africa, please subscribe.
Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 08:00, 29 Julai 2010 (UTC)
Help with Swahili Wikibooks logo
haririHello all. I'm currently collecting project names and slogans as a part of a logo cleanup. Would you guys mind verifying/translating the following phrases for the Swahili (sw) Wikibooks logo?
- Wikibooks = Wikitabu
- Open books for an open world (or "Free books for a free world" if that's easier to translate) = ?
Please put your translation on my Meta-Wiki talk page. Thanks in advance for your help! Cbrown1023 majadiliano 02:35, 24 Agosti 2010 (UTC)
- Wikitabu looks like a good idea. "Vitabu huru kwa dunia huru" - I'd try that one but maybe "vitabu huria" is better - I have not followed the "Open software" (programu huru - programu huria??) debate in Swahili for a while so i am not sre where the guys have settled. Kipala (majadiliano) 06:28, 25 Agosti 2010 (UTC)
- Mzee Kipala, no doubt with "Vitabu huru kwa dunia huru". I was about to write the same, but... You know what I mean!--MwanaharakatiLonga 07:03, 25 Agosti 2010 (UTC)
- So you both agree that "Vitabu huru kwa dunia huru" is best? Okay, I'll use that. Thanks! :-) (By the way, Muddyb Blast, you're missing a </font> tag at the end of your signature.) Cbrown1023 majadiliano 14:03, 25 Agosti 2010 (UTC)
Uso mpya wa wikipedia
haririJamani napenda kujua ni nani aliyebadilisha uso wa wikipedia yetu ufuata muundo mpya? Kuliuwa na mjajadiliano na wapi? Sipendezwi sana nayo. Nimeona katika wikipedia nyingine waliwapa watu nafasi ya kujadiliana na hata chaguo. 91.98.113.164 06:47, 8 Septemba 2010 (UTC)
- Uso mpya upi huo? Halafu si mbaya ukisema wewe ni nani mwenzetu! Wote twajulikana sisi ni kina nani na wewe basi jitokeze ili tuweze kukusaidia! Ukiendelea kuwa fumbo? Sijui... Haya, karibu sana.--MwanaharakatiLonga 07:39, 8 Septemba 2010 (UTC)
- Samahani naona sasa tu ya kwamba sijaweka sahihi. Samahani. Basi naona sasa ya kwamba mabadiliko ya uso ni hatari pia kwa mwongozo (tutorials zetu) maana picha ndogo zimebadilika pia muundo wa ukurasa. Kila mtumiaji mpya anaingia katika muundo mpya. Nani atabadilisha yote??? Sipendezwi nayo nimendika sasa kwa kurasa mbalimbali za Wikimedia kuomba maelezo ni nani mhusika. Kipala (majadiliano) 19:04, 17 Septemba 2010 (UTC)
- Nimeuliza taratibu ya usability project walioweka uso mpya katika kila wiki wa WikiMedia Foundation kule meta, kwa mtu ninayemfahamu kidogo. Lakini sidhani kwamba watakuwa tayari kurudisha katika uso ulivyokuwa. Nafikiri kwamba ni nzuri kutokuwa tofauti sana na wiki zingine, kwa sababu utengenezaji wa wiki utakuwa vigumu kama tupo tofauti sana na wengine. Ukitaka kuwasiliana na usability project wenyewe wako hapa. Tatizo hasa ni kuzoea uso mpya na kuandika kurasa za msaada haraka shauri ya mradi mpya, sivyo? Nitauliza kama wataweza kuandika mwongozo fupi kwa ajili ya watumiaji wapya kule usability project, itusaidie kuandika upya Kiswahili. Bahati mbaya sina nafasi siku hizi ya kuchangia kwa kirefu katika kuandika kurasa za msaada.
Tunapoandika kurasa mpya ya msaada lakini, tutunze zile za zamani kwa ajili ya wale bado wanaotumia uso wa MonoBook.Lloffiwr (majadiliano) 12:30, 22 Septemba 2010 (UTC)
- Nimeuliza taratibu ya usability project walioweka uso mpya katika kila wiki wa WikiMedia Foundation kule meta, kwa mtu ninayemfahamu kidogo. Lakini sidhani kwamba watakuwa tayari kurudisha katika uso ulivyokuwa. Nafikiri kwamba ni nzuri kutokuwa tofauti sana na wiki zingine, kwa sababu utengenezaji wa wiki utakuwa vigumu kama tupo tofauti sana na wengine. Ukitaka kuwasiliana na usability project wenyewe wako hapa. Tatizo hasa ni kuzoea uso mpya na kuandika kurasa za msaada haraka shauri ya mradi mpya, sivyo? Nitauliza kama wataweza kuandika mwongozo fupi kwa ajili ya watumiaji wapya kule usability project, itusaidie kuandika upya Kiswahili. Bahati mbaya sina nafasi siku hizi ya kuchangia kwa kirefu katika kuandika kurasa za msaada.
- Kama nilivyohisi, hakuna njia ya kurudi katika uso wa zamani. Maelezo yapo bugzilla:24527#c3. Lloffiwr (majadiliano) 09:03, 25 Septemba 2010 (UTC)
Article requests
haririAfter finding the Swahili website for the Supreme Leader of Iran: http://www.leader.ir/langs/sw/
Why not write Swahili articles for:
Thanks, WhisperToMe (majadiliano) 21:02, 9 Septemba 2010 (UTC)
- Proposal taken, queued, Thx. Kipala (majadiliano) 19:38, 17 Septemba 2010 (UTC)
istilahi za Wikipedia
haririNinapendekeza istilahi mpya za MediaWiki zifuatazo:
- Import - Kuleta. Inaleta nakala ya kurasa kutoka wiki nyingine, lakini haifanyi kazi katika Wikipedia ya Kiswahili. Ukiangalia orodha ya istilahi ya kilinux utaona kwamba import = kuleta.
- Export - Kupeleka. Inapeleka nakala ya kurasa nje ya wiki kwa kutumia Maalum:Export. Ukiangalia orodha ya istilahi ya kilinux utaona kwamba export = kuhamisha. Lakini tunatumia kuhamisha wakati wa kuhamisha ukurasa katika jina mpya hapa Wikipedia (= page move). Kwa hiyo nimependekeza 'kupeleka'.
- Sub-page = Ukurasa tanzu. Inaelezwa katika Wikipedia ya Kiingereza. Au tuseme 'kiukurasa' tu?
Naomba maoni yenu. Lloffiwr (majadiliano) 19:05, 11 Septemba 2010 (UTC)
- Subpage - ningependelea "ukurasa mdogo"; Import - "chukua" / "ingiza"; Export "peleka" . Ingawa sielewi ile kazi ya kuingiza na peleka. Kipala (majadiliano) 19:38, 17 Septemba 2010 (UTC)
- Maelezo yanapatikana katika Kiingereza kwa ajili ya import na export. Shida ya kutumia 'ingiza' kwa ajili ya 'import' ni kwamba tunaweza 'kuingiza' mambo mengi. Tunatumia 'kuingiza' tayari kwa ajili ya 'insert', au 'enter'. Lloffiwr (majadiliano) 07:45, 3 Oktoba 2010 (UTC)
- Nimeweka 'ukurasa mdogo' na 'peleka'. Bado kuamua juu ya 'import'. Lloffiwr (majadiliano) 19:36, 18 Oktoba 2010 (UTC)
- Maelezo yanapatikana katika Kiingereza kwa ajili ya import na export. Shida ya kutumia 'ingiza' kwa ajili ya 'import' ni kwamba tunaweza 'kuingiza' mambo mengi. Tunatumia 'kuingiza' tayari kwa ajili ya 'insert', au 'enter'. Lloffiwr (majadiliano) 07:45, 3 Oktoba 2010 (UTC)
- Subpage - ningependelea "ukurasa mdogo"; Import - "chukua" / "ingiza"; Export "peleka" . Ingawa sielewi ile kazi ya kuingiza na peleka. Kipala (majadiliano) 19:38, 17 Septemba 2010 (UTC)
- Kuna njia moja ya kupanga mada katika WikiMedia na 'forums' ya tovuti ambaye majibu yameunganishwa na mada yake - yanafuata katika mfululizo. Bado hayatumiki Wikipedia lakini najaribu kutafsiri jumbe zake katika WikiMedia. Tazama mfano. Kule WikiMedia zinaitwa 'threaded discussions'. Wametumia 'thread' (maana yake 'uzi') kwa sababu majibu yameunganishwa yote pamoja. Je, ingefaa kutumia 'mfululizo' katika Kiswahili kwa ajili ya 'thread'? Na 'majadiliano ya mfululizo' kwa ajili ya 'threaded discussion'. Au kuna mapendekezo mengine? Lloffiwr (majadiliano) 19:56, 9 Oktoba 2010 (UTC)
- Dada, nimetazama kamusi yangu ya TUKI inataja pia "thread" kama mlolongo. Kwa maana hiyo inakuwa: mlolongo wa majadiliano badala ya mfululizo. Unaonaje?--MwanaharakatiLonga 08:52, 11 Oktoba 2010 (UTC)
- Nakubali na Muddyb kuwa mlolongo wa majadiliano, istilahi hiyo inafaa sana kwa 'discussion thread'. --Baba Tabita (majadiliano) 17:46, 13 Oktoba 2010 (UTC)
- Asanteni kwa mawazo - nitaweka mlolongo wa majadiliano. Lloffiwr (majadiliano) 09:58, 16 Oktoba 2010 (UTC)
- Nakubali na Muddyb kuwa mlolongo wa majadiliano, istilahi hiyo inafaa sana kwa 'discussion thread'. --Baba Tabita (majadiliano) 17:46, 13 Oktoba 2010 (UTC)
- Dada, nimetazama kamusi yangu ya TUKI inataja pia "thread" kama mlolongo. Kwa maana hiyo inakuwa: mlolongo wa majadiliano badala ya mfululizo. Unaonaje?--MwanaharakatiLonga 08:52, 11 Oktoba 2010 (UTC)
Page request
hariri- en:Wikipedia:Please do not bite the newcomers: I think this page would be helpful for new contributors to see where they stand. (could be shorter and poss. have some Africa-specific modifications). CGN2010 (majadiliano) 12:09, 16 Septemba 2010 (UTC)
Hakimiliki/hatimiliki
haririNaomba msaada wa wataalamu wa lugha. Je, maneno ya hakimiliki na hatimiliki, yana maana moja tu? Neno la hakimiliki linatumiwa kwa ajili ya 'copyright' hapa Wikipedia. Ni sawa? Lloffiwr (majadiliano) 15:48, 25 Septemba 2010 (UTC)
- Kufuatana na matumizi ya neno 'hakimiliki' kisheria, nimeandika 'hakimiliki' kwa ajili ya 'copyright' katika jumbe zetu. Sasa tutafsirije 'licensing' na 'license'? Mahali pengine 'license' pameandikwa 'leseni'. Au tutumie 'kibali', 'kibali cha utumiaji', 'hati ya utumiaji', 'kibali cha mwenye hakimiliki'? Halafu kwa ajili ya 'licensing' tutumie labda 'kutoa leseni', 'kutoa kibali', 'kutoa kibali cha utumiaji', kutoa hati ha utumiaji', kutoa kibali cha mwenye hakimiliki'? Au kuna pendekezo lingine? Lloffiwr (majadiliano) 09:39, 26 Septemba 2010 (UTC)
- Wengine wanatumia hakimiliki, wengine wanatumia hatimiliki. Ukitafuta kwenye Google, utagundua 60,000 kwa haki na 87,000 kwa hati - kweli, ni sawa. Ukitafsiri tena kwa Kiingereza, ni "right of ownership" vs. "certificate of ownership" - zote mbili ni istilahi ya kufaa kwa "copyright". Hivyo, ni kama "tembo" na "ndovu" - chagua moja kutumia kila mara katika Wikipedia, lakini usiwe na wasiwasi kama wengine hawakubali.
- Kuhusu "license/ licensing", nitachangia maoni yangu wiki kesho, baada ya kuchunguza jinsi akina Google na Microsoft wameanza kufanya. (Nipo safarini wiki hii.) Malangali (majadiliano) 18:46, 4 Oktoba 2010 (UTC)
Kuweka tafsiri za maandishi katika video za Wikimedia Foundation
haririNimetafsiri maandishi katika video ya Wikimedia Foundation hapa. Video yenyewe inaonekana hapa. Labda inabidi uwezeshe 'gadget' ya mwEmbed katika mapendekezo yako kule WikiMedia Commons ili uone tafsiri za maandishi. Kama kuna makosa ya kiswahili humu tafadhili yarekebishwe! Halafu zipo mafaili mawili mengine ambao Wikimedia Foundation inaomba zitafsiriwe:
Kutafsiri weka "sw" badala ya "en" katika URL, uweke nakala ya maandishi ya Kiingereza katika ukurasa wa Kiswahili, halafu utafsiri tu. Ili uone video kabla ya kutafsiri angalia hapa. Usipoweza kuona video katika tarakalishi yako tazama hapa. Lloffiwr (majadiliano) 15:31, 26 Septemba 2010 (UTC)
Kura ya kuamua juu ya wakabidhi waliopotea
haririKaribu kutembelea ukurasa wa wakabidhi na kuamua juu ya wenzetu waliopewa haki za wakabidhi lakini hawakuonekana tangu miezi mingi: Wikipedia:Wakabidhi#Kura_ya_kuondoa_wakabidhi_waliopotea. Tuliwahi kujadili swali hili mwaka uliopita (tazama kwenye ukurasa unaotajwa, juu ya pendekezo) ; sasa njia imeonekana. Kipala (majadiliano) 05:29, 1 Oktoba 2010 (UTC)
Fundraising 2010: Beat Jimmy Challenge
haririThe Fundraising Committee is issuing all interested community members a challenge: we want you to beat Jimmy. The appeal from Jimmy Wales and the corresponding banner have been tested head-to-head with other successful banners, and the results are clear: it's our best performing message... by a lot. This year we have a lofty fundraising goal; we need all of our banners to bring in donations like the Jimmy Appeal, but no one wants to keep the Jimmy banner up for two months. We want to run donor quotes, and other wonderful ideas, but we have to have banners that work as well as or better than the Jimmy appeal.
We've just released the highlights from a donor focus group, and the results of our donor survey. With one month to the launch of the fundraiser, the messages we test must be driven by data from our tests and surveys - we can no longer rely on instinct alone.
We've redesigned our fundraising meta pages with the Jimmy challenge; check out the survey results and propose/discuss banners that reflect these findings. Add the banners you think will 'beat Jimmy' here to be tested Tuesday October 12 against Jimmy. -Dgultekin (majadiliano) 00:06, 7 Oktoba 2010 (UTC)
Kutafsiri barua ya Jimmy Wales
haririUmbo la kuomba michango hapo juu na kule wikimedia Foundation uliandikwa Kiingereza. Baadhi ya maneno yameshatafsiriwa katika Kiswahili, lakini hazijawekwa zifanye kazi kwa sababu barua ya Jimmy Wales bado halijatafsiriwa. Ama tulitafsiri barua lile kule meta, ama tuombe watoe maneno la Kiswahili, lakini barua libaki katika Kiingereza. Je, kuna mtu ambaye ana nafasi ya kutafsiri barua lile? Kama hakuna, mnakubali niombe watoe barua lile katika Kiingereza ili maneno mengine yaonekana katika Kiswahili? Lloffiwr (majadiliano) 21:49, 1 Desemba 2010 (UTC)
- Duh! Kazi kwelikweli. Labda tuanze hapa-hapa kwa pamoja:
Kiswahili: Miaka kumi iliyopita nimepata mengi yanayoonekana kama kioja pale nilipoanza kuzungumza na watu kuhusu Wikipedia.
Sijaelewa vyema aya ijayo hapo chini - ajaribu mwingine
Wengine walikuwa hawakuamini kwamba watu wa kila sehemu ya dunia wangeweza kujiunga kwa kujitolea na kujenga akiba ya maarifa – ili tushirikiane wote ujuzi wetu.
Hakuna matangazo. Hakuna faida. Hakuna nia iliyofichika.
Muongo mmoja baada ya kuanzishwa kwake, zaidi ya watu milioni 380 wanatumia Wikipedia kila mwezi – karibia theluthi moja ya dunia-iliyounganishwa na Mtandao (Internet).
Ni ya tano katika orodha ya wavuti maarufu duniani. Hizo nne nyingine zimejengwa na kuendelezwa kwa uwekezaji wa mabilioni ya madola, ushirika mkubwa wa wafanyakazi na kwa kutangaza kwa sauti mno.
Lakini, Wikipedia si kama kitu au wavuti ya kibiashara. Ni uumbaji wa jumuia, imetungwa na wanajitolea kufanya ingizo moja moja. Wewe ni mmoja wa wanamujumuia wetu. Na ninaandika barua hii leo kukuomba uitunze na kuindeleza Wikipedia.
Kwa pamoja, tunaweza kuifanya iwe ya bila gharama na matangazo. Tunaweza kuiweka wazi – unaweza kutumia habari zilizopo katika Wikipedia kwa jinsi utakavyo. Tunaweza kuendelea kuikuza – kueneza ufahamu kila mahali, na kualika ushiriki kutoka kwa kila mtu.
Kila mwaka kwa wakati huu, tunawaomba nyinyi wanashiriki wa Wikipedia mtusaidie kuendeleza mradi wetu wa pamoja kwa kuchangia kiasi unachoweza.
Kama unathamani kazi ya Wikipedia ya kutoa maarifa - na kutia msukumo - ninatumaini kwamba utapenda kuchangia sasa hivi.
Salaamu,
Jimmy Wales
Mwanzalishi, Wikipedia
Nyongeza: Wikipedia imejengwa na watu wanaoshirikiana katika kujenga kitu cha ajabu. Tunaandika Wikipedia neno kwa neno. Tunachangia ruzuku zetu moja moja. Hiyo ndiyo dalili ya uwezo wetu wa kubadilisha dunia kwa kufanya pamoja.
- Kiingereza
I got a lot of funny looks ten years ago when I started talking to people about Wikipedia.
Let’s just say some of the business types were skeptical of the notion that volunteers from all across the world could come together to create a remarkable pool of human knowledge – all for the simple purpose of sharing.
No ads. No profits. No agenda.
A decade after its founding, more than 380 million people use Wikipedia every month – almost a third of the Internet-connected world.
It is the 5th most popular website in the world. The other four have been built and maintained with billions of dollars in investment, huge corporate staffs and relentless marketing.
But, Wikipedia isn’t anything like a commercial website. It is a community creation, written by volunteers making one entry at a time. You are part of our community. And I’m writing today to ask you to protect and sustain Wikipedia.
Together, we can keep it free of charge and free of advertising. We can keep it open – you can use the information in Wikipedia any way you want. We can keep it growing – spreading knowledge everywhere, and inviting participation from everyone.
Each year at this time, we reach out to ask you and others all across the Wikipedia community to help sustain our joint enterprise with a modest donation of $20, $35, $50 or more.
If you value Wikipedia as a source of information – and a source of inspiration – I hope you’ll choose to act right now.
All the best,
Jimmy Wales
Founder, Wikipedia
P.S. Wikipedia is about the power of people like us to do extraordinary things. People like us write Wikipedia, one word at a time. People like us fund it, one donation at a time. It's proof of our collective potential to change the world
Jaribio tena
haririMiaka 10 iliyopita watu wengi walinitazama kama kioja nilipoanza kuongea na watu juu ya wWikipedia.
Watu wengi walikuwa na mashaka kama wanaintaneti wa kujitolea kutoka pande zote za dunia wangeweza kushirikiana na kukusanya ujuzi wa binadamu wakilenga kushirikiana tu.
Bila matangazo ya kibiashara. Bila nia za siri. Bila masharti yoyote kwa watumiaji.
Miaka 10 baada ya vyanzo vile kuna watu milioni 400380 wanaotumia wWikipedia na miradi yake ndugu kila mwezi - hao ni takriban theluthi moja ya watu wote waliounganika na intaneti dunani.
Wikipedia ni tovuti maarufu ya tano duniani. Tovuti nne zingine kubwa zimejengwa na kuendelezwa kwa uwekezaji wa mabilioni ya madola, ushirika mkubwa wa wafanyakazi na kwa kutangaza kwa sauti mno.
Lakini Wikipedia si mradi wa kibiashara. Inajengwa na jumuiya yake ambao ni watu wanaojitolea kuchangia.
Wewe u mmoja wao katika jumuiya hii. Mimi ninakuandikia barua hii siku ya leo kwa kukuomba ulinde na udumishe wWikipedia.
Sote pamoja tunaweza kuitunza kama mahali pasipo na ada kwa watumiaji na matangazo ya kibiashara. Tunaweza kuitunza kama tovuti huria - mtu yeyote yu huru kutumia elimu iliyomo katika wWikipedia jinsi anavyopenda.
Kwa njia hii tunaendelea kuikuza: tunasambaza elimu tukiwakaribisha wote wapate kuchangia.
Kila mwaka wakati huu tunapiga hodi kwako na kwa wote wengine katika jumuiya ya Wikimedia kwa ombi la kuchangia kiasi kidogo kwa mradi wetu wa pamoja: $ 10, 30, 50 au zaidi.
Ukipenda wWikipedia kama chanzo cha habari na elimu natumaini utachukua hatua inayofaa.
Ndimi wako
Mwanzilishaji wa wWikipedia.
Nyongeza: Wikipedia imejengwa na watu wanaoshirikiana katika kujenga kitu cha ajabu. Tunaandika Wikipedia na neno moja moja neno kwa neno. Tunachangia ruzuku zetu moja moja. Hiyo ndiyo dalili ya uwezo wetu wa kubadilisha dunia kwa kufanya pamoja. Pamoja tunajenga akiba ya maarifa cha thamani.
Kipala (majadiliano) 22:31, 2 Desemba 2010 (UTC)
- Swali
Tafsiri umefanya kulingana na Kiingereza au umechukua ile ya Kijerumani? Uzuri ni kwamba haijatafisiriwa ki-sisisi (neno kwa neno), ila tu imejumuisha maana ya hali ya juu! Binafsi wewe unaonaje - tutumie hii au tutumie ile ya juu? Wako,--MwanaharakatiLonga 07:17, 3 Desemba 2010 (UTC)
- Nimechukua ya Kiingereza lakini kwa kawaida sitafsiri maandishi neno-kwa-neno. Juu ya matumizi sina neno. Nimeifanya usiku tu kabla ya kulala sitaki kuisoma tena. Kwa hiyo usahihishe ubadilishe na kutumia au kutotumia. Kipala (majadiliano) 14:02, 3 Desemba 2010 (UTC)
- Nimeweka tafsiri ya pili pale meta. Kama kuna masahihisho mengine ya kufanya, tafadhali uweke pale. Ukibadilisha barua baada ya kutolewa kutokea, tafadhali ubadilishe pia kigezo chake kiseme 'sw ready' badala ya 'sw published', ili wajue kwamba mabadiliko yametokea. Sijui itachukua muda gani kutoa barua. Kuna mengine ya kutafsiri katika 'fundraiser 2010' - yameorodheshwa kule meta. Kama yupo mtu ambaye angependa kuzitafsiri barua na jumbe hizi, tafadhali ufanye tu pale. Lloffiwr (majadiliano) 13:25, 4 Desemba 2010 (UTC)
- Tafsiri za Kiswahili zimeshawekwa, lakini nashindwa kuyatazama kwa sababu nipo Uingereza, kwa hiyo naongozwa katika kurasa maalum za Wikimedia UK tu. Kama kuna makosa katika maandishi ya Kiswahili, tafadhali unijulishe, au umjulishe C Brown kule meta. Lloffiwr (majadiliano) 13:45, 5 Desemba 2010 (UTC)
- Nimeweka tafsiri ya pili pale meta. Kama kuna masahihisho mengine ya kufanya, tafadhali uweke pale. Ukibadilisha barua baada ya kutolewa kutokea, tafadhali ubadilishe pia kigezo chake kiseme 'sw ready' badala ya 'sw published', ili wajue kwamba mabadiliko yametokea. Sijui itachukua muda gani kutoa barua. Kuna mengine ya kutafsiri katika 'fundraiser 2010' - yameorodheshwa kule meta. Kama yupo mtu ambaye angependa kuzitafsiri barua na jumbe hizi, tafadhali ufanye tu pale. Lloffiwr (majadiliano) 13:25, 4 Desemba 2010 (UTC)
- Nimechukua ya Kiingereza lakini kwa kawaida sitafsiri maandishi neno-kwa-neno. Juu ya matumizi sina neno. Nimeifanya usiku tu kabla ya kulala sitaki kuisoma tena. Kwa hiyo usahihishe ubadilishe na kutumia au kutotumia. Kipala (majadiliano) 14:02, 3 Desemba 2010 (UTC)
Barua ya pili ya Jimmy Wales
haririKuna barua ya pili ya kutafsiri kutoka kwa Jimmy Wales (katika Fundraiser 2010). Inapatikana hapo meta. Lloffiwr (majadiliano) 11:26, 17 Desemba 2010 (UTC)
Tangazo jipya linakuja
haririTangazo jipya litawekwa katika kila Wiki hivi karibuni. Nimetafsiri matangazo, ila inahitaji kupitishwa kabla ya kutolewa. Tafadhali naomba mmoja wetu aende meta, apitishe tafsiri, halafu abadilishe 'status box' (kwa kubonyeza kiungo cha +/- katika sanduku lililopo upande wa kulia), iwe "sw |ready". Lloffiwr (majadiliano) 19:51, 8 Januari 2011 (UTC)
Vilevile tangazo la uchaguzi wa waandalizi hapo meta.</> tayari Lloffiwr (majadiliano) 20:26, 8 Januari 2011 (UTC)
Vilevile tangazo la Wikimania 2011 hapo meta. tayari Lloffiwr (majadiliano) 10:04, 9 Januari 2011 (UTC)
Vilevile tangazo jipya hapo [3]. tayari Lloffiwr (majadiliano) 21:40, 4 Februari 2011 (UTC)
Vilevile tangazo jipya hapo [4]. tayari Lloffiwr (majadiliano) 08:07, 11 Machi 2011 (UTC)
Pronunciation in Swahili
haririHi all :) I am an editor of Bulgarian Wikipedia and I need some help, please. What is the pronunciation of Winam gulf in front of Kisumu city in Kenia and Mwanza - a city in Tanzania and another city or town with the same name in Malawi? Thank you. --Молли (majadiliano) 22:03, 8 Januari 2011 (UTC)
- Sw pronunciation for these words is like Italian or German, except the "w" like in English. Kipala (majadiliano) 11:24, 10 Januari 2011 (UTC)
Sorry, I couldn't understand. Winam = Vinam or Uinam and Mwanza = Mvanza or Muanza? --Молли (majadiliano) 11:46, 10 Januari 2011 (UTC)
- Swahili "w" is like in English "wind" or "will", the rest like Italian/German pronunciation. Kipala (majadiliano) 12:03, 10 Januari 2011 (UTC)
Thank you, Kipala. :)--Молли (majadiliano) 13:08, 10 Januari 2011 (UTC)
- For Swahili spelling and prononciation, have a look at the following page: [5] - --89.224.174.28 08:13, 12 Januari 2011 (UTC) Dominik
Elimu ya Falsafa kwa Mkristo
haririNimesikia kwamba, eti elimu za watu au ubusara wa watu waweza kuiagamiza imani yako. Kutokana na Waraka wa Paulo kwa Wakolosai 2:8 "Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu wala si kwa jinsi ya Kristo.
Kutokana na aya hapo juu, je, elimu ya falsafa ni muhimu kwa Mkristo?
Kutafsiri Editors' Survey
haririMwezi huu itafika 'Editors' Survey' wa Wikimedia Foundation katika kila wiki. Kama uko tayari kusaidia kuitafsiri kwenye Kiswahili unaweza kufanya kule meta. Lloffiwr (majadiliano) 13:44, 11 Machi 2011 (UTC)
- Nimesoma sidhani ni muhimu sana kwa wikipedia yetu. Nakubali maswali ya kimsingi ni yaleyale - yaani namna gani kuendelea kuwa tayari kwa wachangiaji wapya na njia zao ambazo zinaweza kuwa tofauti na njia zetu jinsi tulivyozoea. Ila tu hadi sasa naona hatujafanya vibaya mno. (Ingawa namkumbuka huyu Mjerumani aliyeondoka kwa hasaira baada ya kuchangia mengi katika muda mfupi kwa sababu alisikitika jinsi makala za wachangiaji wapya zilipewa haraka dirisha la onyo kama wazee wetu waliona kasoro nzitonzito,,,) Kipala (majadiliano) 20:27, 13 Machi 2011 (UTC)
- Kipindi cha kutafsiri 'editors' survey' kimekwisha na hatujaikamilisha, kwa hiyo haitatolewa katika Kiswahili. Si neno - uchunguzi ulikuwa ndefu sana. Lakini tangazo lake limetafsiriwa, kwa hiyo tangazo litaonekana katika Kiswahili litakapotolewa. Asante kwa wale waliojitahidi kutafsiri 'Editors' Survey'. Lloffiwr (majadiliano) 08:17, 24 Machi 2011 (UTC)
Multilingual Challenge
haririPlease help: replace this red text with a translation of the English message below. Thank you! |
Announcing the Derby Multilingual Challenge This is the first multilingual Wikipedia collaboration. All Wikipedians can take part, in any Wikipedia language. The challenge runs from 1 May until 3 September 2011. |
Andrew Dalby (majadiliano) 14:03, 2 Mei 2011 (UTC)
Template namespace initialisation script
haririHello. Some years ago, developers used Template namespace initialisation script to move some pages from the MediaWiki to the Template namespace, and left some useless redirects.
Consequently, the following pages should be deleted :
For more informations, please see this request (meta).
Thanks -- Quentinv57 (majadiliano) 19:15, 23 Juni 2011 (UTC)
- Imefanyika.--MwanaharakatiLonga 18:26, 3 Julai 2011 (UTC)
Call for image filter referendum
haririThe Wikimedia Foundation, at the direction of the Board of Trustees, will be holding a vote to determine whether members of the community support the creation and usage of an opt-in personal image filter, which would allow readers to voluntarily screen particular types of images strictly for their own account.
Further details and educational materials will be available shortly. The referendum is scheduled for 12-27 August, 2011, and will be conducted on servers hosted by a neutral third party. Referendum details, officials, voting requirements, and supporting materials will be posted at Meta:Image filter referendum shortly.
Sorry for delivering you a message in English. Please help translate the pages on the referendum on Meta and join the translators mailing list.
For the coordinating committee,
Philippe (WMF)
Cbrown1023
Risker
Mardetanha
PeterSymonds
Robert Harris
Kutafsiri fundraiser 2011
haririNimekubali kusaidia kupanga tafsiri ya fundraiser 2011 katika Kiswahili. Maandishi yanayotakiwa yatafsiriwe mwaka huu yapo meta na translatewiki.net, [6]. Kama kuna watu ambao wako tayari kutafsiri au kuhariri tafsiri za wengine, tafadhali unijulishe hapa chini. Kuhusu jumbe zilizopo translatewiki.net, ikiwa unataka kupendekeza tafsiri mpya, lakini hutaki kujifunza namna ya kutumia translatewiki.net, unaweza kuniarifu, na nitatekeleza kule translatewiki.net. Kitu cha muhimu kule meta nadhani ni kuhariri 'Core messages]'. Zilizopo ni za mwaka uliopita. Lloffiwr (majadiliano) 15:56, 4 Septemba 2011 (UTC)
- Nimerekebisha viungo vibaya hapo juu. Core messages ziko tayari kuhaririwa. Lloffiwr (majadiliano) 17:48, 18 Septemba 2011 (UTC)
- Core messages zimekamilishwa.
- Central notice iko tayari kuhaririwa. Lloffiwr (majadiliano) 12:44, 20 Septemba 2011 (UTC)
- Central notice imetolewa. FAQ imeanzishwa. Lloffiwr (majadiliano) 19:37, 24 Septemba 2011 (UTC)
not needed, delete this 22
Central notice inahitaji itafsiriwe
haririKuna mtu ambaye yuko tayari kuhariri central notice ambaye imeshaonekana hapa Wikipedia, kisha kubadili 'status' iwe 'ready'? Iko meta. Lloffiwr (majadiliano) 22:55, 6 Oktoba 2011 (UTC)
- Imefanyika.--MwanaharakatiLonga 04:30, 7 Oktoba 2011 (UTC)
- Asante. Lloffiwr (majadiliano) 21:32, 15 Oktoba 2011 (UTC)
Barua ya Jimmy Wales inahitaji kubadilishwa kidogo
haririKule meta wamebadili barua ya Jimmy Wales kidogo katika Kiingereza. Kwa hiyo inahitaji kubadilishwa katika Kiswahili pia. Nimeweka sehemu mpya ndani ya ukurasa, katika Kiingereza, na nitashukuru kama kuna mtu yu tayari kuitafsiri. Lloffiwr (majadiliano) 21:39, 15 Oktoba 2011 (UTC)
Kupitwa na lugha nyingine za Afrika
haririNdugu zangu, nisipokosea Kiswahili kimepitwa na lugha nyingine 2 katika Wikipedia. Mnasemaje? Tukubali? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:31, 16 Oktoba 2011 (UTC)
- Eh, Riccardo, nimeona. LAKINI nilivyo-tazama Wikipedia ya Kiyoruba, wallah ni vichekesho. Makala mstari mmoja tu, basi hakuna. Watatuzidi kwa wingi makala tupu bila maelezo, lakini yetu imepiga hatua kwa kiasi kikubwa sana. Makala zisizo na maelezo au makala mstari mmoja ni chache kulinganisha na makala ambazo nina maneno mengi. Au? LAKINI pia tusikubali, nitaendeleza mbegu zangu angalau wengine wataongezea! Wasalaaam!--MwanaharakatiLonga 09:02, 16 Oktoba 2011 (UTC)
- HAya wapendwa, tusikate tamaa! Nimeona Yoruba pekee, ipi lugha nyingine? Au unahesabu Kiarabu? Kuhusu Yoruba ni kweli alivyosema Muddy. Nimenakili hapo juu sehemu husika kutoka takwimu kwenye http://meta.wikimedia.org/wiki/List_of_Wikipedias. Jedwali ya kwanza ni ile inayohesabu wikipedia zote kufuatana na idadi ya makala. Nje ya namba ya makala tuone nguzo ya mwisho yaani "depth". Hapa maelezo ni: "The depth or editing depth of Wikipedia is a rough indicator of the encyclopedia's quality." Ni hesabu ya idadi ya hariri kwa makala na inaonyesha kama makala zinafanyiwa kazi. Kiswahili una "34" hii si vizuri lakini si vibaya. Yoruba ina "2" ambayo ni vibaya sana maana wanaweka tu hawahariri au kidogo mno.
- Jedwali ya pili ni ile ya chaguo la makala 1000 muhmu zaidi. Hapo tuko juu ya Yoruba, na ni dalili ya ubora wa wikipedi fulani pia. Lakini sote mbili hatuko vizuri kweli katika chaguo hili.
№ | Language | Language (local) | Wiki | Articles | Total | Edits | Admins | Users | Active Users | Images | Depth |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
72 | Yoruba | Yorùbá | yo | 29,666 | 46,194 | 311,321 | 2 | 6,196 | 43 | 282 | 2 |
80 | Swahili | Kiswahili | sw | 21,807 | 58,199 | 710,357 | 10 | 10,550 | 79 | 1,887 | 34 |
84 | Afrikaans | Afrikaans | af | 19,652 | 49,206 | 890,541 | 11 | 34,700 | 163 | 1,234 | 41 |
№ | Wiki | Language | Weight | Mean Article Size |
Median Article Size |
Absent (0k) |
Stubs (< 10k) |
Articles (10-30k) |
Long Art. (> 30k) |
Score | Growth |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
58 | af | Afrikaans | 1.0 | 8,719 | 3,421 | 312 | 534 | 111 | 43 | 15.17 | +0.06 |
72 | sw | Kiswahili | 1.0* | 4,573 | 2,090 | 216 | 734 | 38 | 12 | 11.04 | -0.04 |
101 | yo | Yorùbá | 1.0* | 2,856 | 1,783 | 546 | 441 | 9 | 3 | 5.61 | +0.03 |
- Wapendwa, lugha ya pili ni Malagasy. Nakubali ubora wetu kushinda wa lugha nyingine za Afrika (isipokuwa Afrikaans), lakini Muddy alivyoniandikia siku moja hata idadi ya makala ina umuhimu wake. Labda tujitahidi sote kuingiza mbegu kadhaa, hasa za makala 1000 muhimu zaidi, halafu tuendelee na makala ndefu na zenye picha. Amani kwenu. --41.221.34.70 08:18, 17 Oktoba 2011 (UTC)
- Kweli kabisa usemavyo bwana Kiapala. Kuhusu makala 1000, labda nijaribu kila siku kuandika makala 1 (siku hizi inaweza kupita hata siku 3 hakuna makala mpya). Labda itasaidia kuinua Wikipedia yetu. Ukijiona una nafasi nzuri ya kupiga hata mbegu tatu - si mbaya! Haya, tuendeleeni!--MwanaharakatiLonga 09:50, 17 Oktoba 2011 (UTC)
Terms of Use update
haririI apologize that you are receiving this message in English. Please help translate it.
Hello,
The Wikimedia Foundation is discussing changes to its Terms of Use. The discussion can be found at Talk:Terms of use. Everyone is invited to join in. Because the new version of Terms of use is not in final form, we are not able to present official translations of it. Volunteers are welcome to translate it, as German volunteers have done at m:Terms of use/de, but we ask that you note at the top that the translation is unofficial and may become outdated as the English version is changed. The translation request can be found at m:Translation requests/WMF/Terms of Use 2 -- Maggie Dennis, Community Liaison 01:19, 27 Oktoba 2011 (UTC)
Kutafsiri fundraiser 2011
haririKazi ya kutafsiri fundraiser 2011 inaendelea kule meta na translatewiki.net. Kazi ya muhimu zaidi imekamilishwa, ispokuwa kazi ya kupitia banners and LPs (hizi zitaonekana hapa Wikipedia). Baada ya kupitia ukurasa huu, na kuurekebisha ikihitajika, mhariri abonyeze 'edit status' na kubadilisha 'proofreading' iwe 'ready', ili kufahamisha akina meta kwamba wanaweza kutolea ukurasa. Lloffiwr (majadiliano) 09:32, 6 Novemba 2011 (UTC)
- Tafsiri za Banners2 ziko tayari kuzipitia. Lloffiwr (majadiliano) 22:03, 22 Novemba 2011 (UTC)
- Kuna vichwa vya habari mpya kuvitafsiri katika ukurasa wa Banners2. Lloffiwr (majadiliano) 09:29, 10 Desemba 2011 (UTC)
- Tafsiri za Banners2 ziko tayari kuzipitia. Lloffiwr (majadiliano) 22:03, 22 Novemba 2011 (UTC)
Swahili au Kiswahili? Na Ngozi je?
haririKaribou (c'est bonbon !)
Here is a unanswered message I posted on the talk page of "Kiswahili", several months ago. If someone is able to understand french language, I thank him in advance to make me the faour of translating the question, so that everybody can understand it. I would appreciate your answer in english on my talk page stated below.
Thanks in advance.
Hop ! [[Utilisateur:Kikuyu3|Kikuyu3]] [[Discussion utilisateur:Kikuyu3|Sous l'Arbre à palabres]] (majadiliano) 20:24, 4 Desemba 2011 (UTC)
- Bonjour à tous et à chacun,
- Désolé de m'adresser à vous dans une autre langue que la vôtre, mais je n'en connais pas un traître mot.
- J'ai plusieurs questions à vous soumettre qui peuvent vous paraître de second ordre.
- Tout d'abord, sur la Wikipedia francophone, il y a eu, en 2006, une discussion dont les conclusions n'ont pas fait l'objet d'un consensus très net. Il s'agissait de déterminer si, pour évoquer votre langue, il faut employer le terme swahili ou plutôt kiswahili. Notamment, un article figure bien à l'entrée Swahili, mais la page de discussion renvoie à celle de l'article Kiswahili. Ce qui paraît à l'évidence un rien scabreux. Qu'en pensent les linguistes swahiliphones (ou kiswahiliphones, si c'est comme ça que ça doit finalement se dire;-)) ) ?
- Ensuite, toujours sur la WP:FR, on évoque une ville de Ngozi sur la côte de l'Océan Indien, quelque part entre le Nord du Kenya et le Sud de la Somalie, comme lieu d'origine possible de la langue, ou même avant, du proto-swahili dont votre langue tirerait son origine. Il s'agirait de la probable capitale de l'ancien Empire Ozi. Je n'en avais personnellement jamais entendu parler. Je ne trouve rien de probant sur WP:EN ni avec Google.
- Quelqu'un connaît-il une source d'information assez sérieuse et documentée (en français ou en anglais, SVP) sur ce sujet pour me l'indiquer, que ce soit sur la ville, sur l'ancien empire ou sur la source de la langue ? (Et si c'est sur les trois ensemble, c'est encore mieux ;-)))
- Remerciements chaleureux et anticipés. Le bonjour à tous vos anciens. Hop ! :Kikuyu3 (majadiliano) 12:56, 12 Julai 2009 (UTC)
- (Vous pouvez me répondre ici, ou de préférence sur ma page perso (http://fr.wikipedia.org/wiki/Discussion_utilisateur:Kikuyu3), de préférence en français ou à défaut en anglais, que je comprends un peu aussi. Asante sana.)
- Tafsiri
Watu wote na kila mtu, salaam!
Pole kwa kuwaandikia kwa lugha tofauti ya ile yenu, lakini sijui neno hata moja ya Kiswahili.
Nina maswali kadhaa kuwauliza ambayo yanaweza kuonekana kama bila uzito. Kwanza, mwaka 2006, ilikuwa majadiliano kwa Wikipedia ya Kifaransa ambayo hayajafika mwafaka mzuri. Hoja ilikuwa kuhakiki kwamba Swahili ni jina bora la lugha yenu au afadhali Kiswahili. Zingatia kama Swahili ni kichwa cha makala ya Wikipedia lakini ukarasa wake wa majadiliano unaitwa Kiswahili, ambayo haifai kwa hakika. Wanaisimu wanaosema Kiswahili, mnafikiria nini?
Halafu, bado kwa WP:FR, mji wa Ngozi unatolewa, ambao ulikuwako pwani ya Bahari ya Hindi, mahali fulani kati ya Kenya ya Kaskazi na Somalia ya Kusi. Mji huu ungekuwa mahali pa asili ya Kiswahili au hata zamani zaidi mahali pa asili ya lugha ya kiasili ya lugha yenu. Yamkini ungekuwa mji mkuu wa Dola ya Ozi. Mimi mwenyewe sijasikia kuhusu mji huu. Sipati kitu nikitafuta kwa WP:EN wala kwa Google. Kuna mtu anaojua chanzo nyofu cha maarifa chenye marejeo (kwa Kifaransa au Kiingereza, tafadhali) kuhusu mji huu, dola hii au asili ya lugha? Na kama ni kuhusu tatu zote, ni bora kabisa ;-)) Asante sana kwa matazamio. Kwa heri, ninyi nyote wakale. Endelea! (Mnaweza kunijibu hapa au kwa upendeleo kwa ukurasa wangu mwenyewe (http://fr.wikipedia.org/wiki/Discussion_utilisateur:Kikuyu3), afadhali kwa Kifaransa ila kwa Kiingereza, ambacho ninakifahamu kidogo pia. Asante sana.) ChriKo (majadiliano) 23:57, 4 Desemba 2011 (UTC) - Nimemjibu. Kipala (majadiliano) 19:41, 10 Desemba 2011 (UTC)
- Tafsiri
Open Call for 2012 Wikimedia Fellowship Applicants
haririI apologize that you are receiving this message in English. Please help translate it.
- Do you want to help attract new contributors to Wikimedia projects?
- Do you want to improve retention of our existing editors?
- Do you want to strengthen our community by diversifying its base and increasing the overall number of excellent participants around the world?
The Wikimedia Foundation is seeking Community Fellows and project ideas for the Community Fellowship Program. A Fellowship is a temporary position at the Wikimedia Foundation in order to work on a specific project or set of projects. Submissions for 2012 are encouraged to focus on the theme of improving editor retention and increasing participation in Wikimedia projects. If interested, please submit a project idea or apply to be a fellow by January 15, 2012. Please visit https://meta.wikimedia.org/wiki/Wikimedia_Fellowships for more information.
Thanks!
--Siko Bouterse, Head of Community Fellowships, Wikimedia Foundation 03:06, 22 Desemba 2011 (UTC)
Distributed via Global message delivery. (Wrong page? Fix here.)