Wikipedia ya Kihaiti

(Elekezwa kutoka Wikipedia ya Kihaiti Kreole)

Wikipedia ya Kihaiti ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kihaiti. Ni moja kati ya Wikipedia chache sana za lugha ya aina ya Krioli.

Favicon of Wikipedia Wikipedia ya Kihaiti
Kisarahttp://ht.wikipedia.org/
Ya kibiashara?Hapana
Aina ya tovutiMradi wa Kamusi Elezo ya Interneti
KujisajiriHiari
Lugha asiliaKihaiti
MmilikiWikimedia Foundation

Wikipedia hii ilianzishwa mnamo mwezi wa Agosti 2004. Tarehe 21 Januari 2009 ilifikisha makala 51,000, na kuifanya iwe toleo la Wikipedia la 38 kwa wingi wa makala (iliruka kutoka nafasi ya 47 mnamo Agosti 2008).

Viungo vya Nje hariri

 
Wikipedia
Wikipedia ya Kihaiti ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kihaiti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.