Wilaya ya Isiolo
Wilaya ya Isiolo ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mashariki wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Wilaya ya Isiolo | |
Wilaya ya Isiolo katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Isiolo |
Eneo | |
- Jumla | 25,698 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 143,294 |
Makao makuu yalikuwa mjini Isiolo.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Isiolo.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mashariki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Isiolo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |