Wilaya ya Machakos

Wilaya ya Machakos ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mashariki wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Wilaya ya Machakos
Mahali pa Wilaya ya Machakos katika Kenya
Mahali pa Wilaya ya Machakos katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Machakos
Eneo
 - Wilaya 5,952.9 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - 1,098,584

Makao makuu yalikuwa mjini Machakos.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Machakos.

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mashariki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Machakos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.