Wilaya ya Nyamira
Wilaya ya Nyamira ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Nyanza wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Wilaya ya Nyamira | |
Wilaya ya Nyamira katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Nyamira |
Eneo | |
- Jumla | 912.5 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 598,252 |
Ilikuwa sehemu ya Wilaya ya Kisii na kuitwa pia Kisii Kaskazini. Wilaya hii ilikuwa na watu 492,102 kulingana na sensa ya mwaka 1999.
Makao makuu yalikuwa mji wa Nyamira wenye watu takribani 10,000 kulingana na hesabu ya 1999.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Nyamira.
Maeneo ya Utawala ya Wilaya
haririMaeneo ya Utawala | |||
Eneo | Aina ya Utawala | Idadi ya Watu* | Wakazi wa mtaa* |
---|---|---|---|
Nyamira | Mji | 65,633 | 9,971 |
Nyansiongo | Mji | 35,413 | 3,692 |
Nyamira County | County | 397,056 | 0 |
Kwa Ujumla | 498,102 | 13,663 | |
*Hesabu ya 1999. Kiini: [1] |
Tarafa za Utawala | |||
Tarafa | Idadi ya Watu* | Idadi ya Wakazi mtaani | Makao makuu |
---|---|---|---|
Borabu | 58,079 | 3,241 | Nyansiongo |
Ekerenyo | 133,967 | 0 | Ekerenyo |
Manga | 75,996 | 0 | Manga |
Nyamira | 133,920 | 9,559 | Nyamira |
Rigoma | 96,140 | 3,395 | Rigoma |
Kwa Ujumla | 498,102 | 16,195 | - |
*Hesabu ya 1999. Kiini: [2], |
Majimbo ya Uchaguzi
haririWilaya ya Nyamira ina majimbo matatu ya Uchaguzi:
Tazama Pia
haririMarejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Nyanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Nyamira kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |