Wileadi wa Bremen (pia: Vilhaed, Willehad, Willihad; Northumberland, 740 hivi - Blexen, 8 Novemba 789) alikuwa padri kutoka Uingereza ambaye mwaka 766 alitumwa kama mmisionari huko Uholanzi na Ujerumani wa leo kuendeleza kazi ya Bonifas mfiadini[1].

Mt. Wileadi.

Baada ya kupata mateso mbalimbali, hatimaye akawa askofu wa kwanza wa Bremen[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na wengineo kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 8 Novemba ya kila mwaka[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.