Wissam Ben Yedder

Mchezaji mpira wa Ufaransa

Wissam Ben Yedder (amezaliwa Sarcelles, Île-de-France, 12 Agosti 1990) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Sevilla ya Hispania.[1][2]

Wissam Ben Yedder

Kazi ya Klabu hariri

Toulouse hariri

Ben Yedder ni mtu wa asili ya Tunisia. Miongoni mwa marafiki wake wa utotoni alikuwemo Riyad Mahrez.

Ben Yedder alianza kazi yake katika JA Alfortville ya ndani ya Championnat de France Amateur, kabla ya kuhamia Toulouse FC ya Ligue 1 mwaka 2010.

Tarehe 30 Julai 2016, Ben Yedder alisaini mkataba wa miaka mitano na klabu ya Hispania Sevilla FC.[3]


Sevilla

Mnamo tarehe 30 Julai 2016, Ben Yedder alisaini mkataba wa miaka mitano na klabu ya Sevilla.Alifanikiwa kucheza mechi yake ya kwanza kama mchezaji wa sevilla akiingia baada ya kufanyika mabadiliko akichukua nafasi ya Luciano Vietto. Ben Yedder alifanikiwa kufunga magoli matano kwenye ushindi wa 14-2 dhidi ya Sociedad Derpotiva Formentera mnamo Desemba 2016.[4][5]


Monaco

Mnamo 14 Agosti 2019 ,Ben Yedder alisaini mkataba wa miaka mitano na AS Monaco. Mnamo 2020-21, Ben Yedder aliisaidia Monaco kumaliza kama washindi wa pili katika Coupe de France, akifunga kwa ushindi dhidi ya Lyon na Rumilly-Vallières katika robo fainali na nusu fainali. Mnamo 2 Mei 2021, alifunga bao lake la 100 kwenye Ligue 1 katika kichapo cha 2-3 nyumbani dhidi ya zamani.[6][7]

Marejeo hariri

  1. "Wissam Ben Yedder". AS Monaco. Iliwekwa mnamo 22 December 2022.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Wissam Ben Yedder". (fr) 
  3. "Monaco in seventh heaven as Ben Yedder hits hat-trick", Ligue 1, 15 January 2023. 
  4. Associated Press (2018-09-23). "Ben Yedder makes it five goals in three days with first-half hat trick". ProSoccerTalk | NBC Sports (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2023-02-26. 
  5. "Ligue1.com - Monaco soundly beaten at Metz". web.archive.org. 2019-08-20. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-08-20. Iliwekwa mnamo 2023-02-26. 
  6. "Monaco end fourth tier Rumilly-Vallieres' French Cup fairytale". www.besoccer.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-02-26. 
  7. Damien Chédeville (2021-05-03). "Wissam Ben Yedder, capitaine puissance 100 en Ligue 1". AS Monaco (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2023-02-26. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wissam Ben Yedder kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.