Yohane wa Napoli (alifariki Napoli, 2 Aprili 432) alikuwa askofu wa 14 wa mji huo, Italia Kusini, rafiki wa Paulino wa Nola. Alifariki kanisani wakati wa kuadhimisha kesha la Pasaka akazikwa na umati wa waumini wapya na wa kale siku ya kushangilia Ufufuko wa Yesu[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Aprili[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.