Yosefu Moscati (kwa Kiitalia: Giuseppe Moscati; Benevento, 25 Julai 1880Napoli, 12 Aprili 1927) alikuwa daktari na mwanabiolojia wa Italia Kusini[1].

Picha yake halisi.

Pamoja na kutibu wagonjwa bila kujibakiza, kwa huruma kubwa na hata bure, alikuwa anashughulikia roho zao pia, na pengine aliwaponya kimuujiza; pia alikuwa mtafiti wa biokemia na kufundisha chuo kikuu[2][3].

Alitangazwa mwenye heri na Papa Paulo VI tarehe 16 Novemba 1975, halafu mtakatifu na Papa Yohane Paulo II tarehe 25 Oktoba 1987.

Sikukuu yake hufanyika tarehe 12 Aprili[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. In 2007, Italy's Rai Uno presented the TV film St. Giuseppe Moscati: Doctor to the Poor directed by Giacomo Campiotti. The film is based on testimonies of contemporaries of Moscati who knew him, and describes his life between his university graduation in 1903 and his death in 1927.
  2. Miller, Michael J. (2004). "Joseph Moscati: Saint, doctor, and miracle-worker". Catholic Education Resource Center. Catholic Educator's Resource Center. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-11-25. Iliwekwa mnamo 2007-08-13.
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/77850
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.